Nipe ya wozap ndo nzuri......lol
Hahahaaaaa ngoja nikaikuleteee...
Chezeiyaaa kucheck game whatsup weyeeeee
Nipe ya wozap ndo nzuri......lol
Bhana broo umenizingua juzi ujuee....
Nina hasiraaaaaaa hadi leo.
Hapa ni majogoo wanapigana na mitetea sasa nimeipa hela yangu najaribu kui support isije tempa na pesa yangu mkuu
Naskia wametupiga goli limekataliwa
Hii partnership ya henderson na milner sioni faida yake kama hatuna DM maana coutinho anashuka mpaka kwenye dimba la kati kupata mipira ndo atoe long ball
Tumekuwa tukipoteza mipira kwa pasi mbovu bado tuna sideways pass na back passes kama msimu uliyopita
Tehteh wa natizama mpira sio muda wa chat kwao tehteh wewe Kaa na Mie kwenye Sofa....
Juzi nilikutafuta mida ya game ya Man nikaona kimya, jana, leo yote sikupati. Nikajua umerudi pori au ndo umeenda na Mafuriko ya EL
Gary Neville anataka kulazimisha Goli la Bounemouth in Goli mtu kamshusha mabega Kabisa Lovren sio Goli hata chembe na la LFC pia ilikuwa offside ki sheria yote sio magoli ila ndio ishakuwa 1-0 kipindi cha pili Ibe aletwe kulia na baadae Lallana atolewe aingie Emre Can na Ibe for Ings kuwe na Striker Wawili Mbele Lasivyo it aisha 1-1 tunahitaji Goli la pili mapema.

Rekebisha kauli nyie hamji sie ndio tunakuja kwenu kuwadonoa tehtehteh Kaa Mkao wa kususa kula na kutoa mkono.Malafyale kaeni mkao wa kula tunakuja kuwafyatulia risasi j3 ijayo
Asante sana mkuu,naona Ben 10 ameanza vizuri hongereni sana........haya wale msiokuwa na uhakika na timu yenu tokeni chini ya uvungu basi mshatupia moja.....lol wapi Manga ML, MosDef na Ed n Edd nEddy!!!!???
Hongereni watani wangu kwa point 3 za kupewa kwi kwi kwi kwi....... Malafyale W is a W Manga ML MosDef na Ed n Edd nEddy Pazi #AllLFCfans