Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hakuna siku aliyooniudhi huyu Rodgers Kama siku aliyomuuza agger na kutuachia akina lovren sakho wasio na moyo na timu agger alikuwa anaipenda timu anapandisha anacheza kwa moyo
 
Akanitia kichefuchefu zaidi kumuuza Suso na Jonjo na kumbakisha mwanae JOE Allen ...na aondoke tu aje klopp au ancelot
 
Hapana wamekanusha, Henry haji. Anakuja Warner peke yake. Hata yeye atosha kumfukuza kichaa na makopo yake.

Siajabu ukute hata FSG hawajafanya nae yale mazungumzo ya kina, hawapo serious FSG, yaan club unakuwa na owners ambao wanajifikiria kumpiga chini kocha kama Rodgers..Tutaondokewa na wachezaji wengi sana jamaa akibaki LFC.
 
Gotta find myself a new hobby now..

Won't be watching LFC next season.
 
Duh poleni LFC fans hii ni habari mbaya kwenu napata wasiwasi uyu BR kibarua kitaishia katikati ya msimu na hapo jahazi litakua limeshajaa maji hawa FSG hawako serious kabisa fanyeni kama Man U fans na kampeni ya Moyes out.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom