MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
i pray that we fire br and hire either ca or jk (not huyu jk wetu:madgrin🙂
hahahahahahahahahaha!
i pray that we fire br and hire either ca or jk (not huyu jk wetu:madgrin🙂
Ila kama FSG ni wastarabu na wanataka kutotetereka kwenye mapato ya tiketi na jezi ni vema wakafanya maamuzi sahihi ili kupunguza munkari ya fanbase
Kuletwa kwa kocha mpya ndiyo jawabu sahihi tunalo subiri fans wengi sababu Ancelotti na Klopp wapo free this summer pia wako interested na LFC
Maamuzi ambayo watayafanya ya kumbakiza BR na kujidai kufix some bugs kwenye timu nahisi litakuja kuwatokea puani na kujikuta wakimtimua BR hata katikati ya msimu na kujikuta tukikosa kila kitu.
Me siombei LFC ikacheze CL na kushinda nahitaji kuona EPL trophy tu
Kuna mambo mengi yanaendelea behind the scenes, ila uhakika nahisi tutapata next week..
FSG wanatakiwa wafanye kitu kitakachoonesha wana malengo na club, Klopp au CA wataongeza munkari ya team, siyo kwa players tu bali kwa fans wote pia wa LFC duniani..
Let's wait and See, 3rd june should interesting..
Tume bid kwa Kovacic lkn source inasema ni Milion 10 tukimpeleka pia Lucas Leiva
Kumuondoa Leiva ambaye ana uzoefu sana na EPL siungi mkono
Klopp kapigwa leo... dah
Hahaaaaaa
'If anyone agrees to pay £32.5m for Benteke the FBI will want to follow the money trail.'
Ben Out Napoli=Ben In R. Madrid
Klopp Out BvB=Klopp In Napoli
Ancelotti Out R.Madrid=Ancelott REST NOW
BR still LFC=BR continues???🙇🙇