Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahhahah!!! "The sun"..

Sky Italia are saying Ancelotti amekataa kuongea na sisi.

Kwamana hiyo mkuu kumbe tuna saka koche eeh? Jambo jema kama jamaa wameamua kuona tatizo la tim maana dah
 
Yeah! Reports ndiyo zinaindicate hivyo, but baada ya season review ya mwez wa 6, tutajua kila kitu..
 
Carlo Ancelotti would jump at the chance to manage Liverpool, according to sources close to the former Real Madrid boss.
Daily star!.....
 
Tena matatizo sio kidogo
I pray tupate kocha mpya mapema maana BR walahi kichwani kwake siyo salama

SG ana miaka 35 unamuondoa lkn unampa mkataba Kolo mwenye miaka halisi karibia 47?

Kocha kichaa huyu
Hahaha.....kumbe Hata BR ni bwana mdogo sana kwa Kolo
 
Chifu ulilipa ile bet yetu???

Kubuma kwa United hakuhusiani na umiliki wa wamarekani.

Yes mkuu, ile bet itawakilishwa kwa Max in person (kama ulivyopendekeza kwamba niwakabidhi JeiEfu)!! kwa sasa niko kitaa nazichanga

Atakuja kuthibitisha humu kwamba kapokea
 
Tony Barret, Bascombe, Paul Joyce, Dom King are reporting kuwa southampton wameipiga chini Bid ya 10m for Nathaniel Clyne kutoka LFC..and wanasema LFC wapo tayar kurudi na bid ya 12m..
 
Tena matatizo sio kidogo
I pray tupate kocha mpya mapema maana BR walahi kichwani kwake siyo salama

SG ana miaka 35 unamuondoa lkn unampa mkataba Kolo mwenye miaka halisi karibia 47?

Kocha kichaa huyu

Hivi unajua SG angekuwa na kocha kama Morinho wala asingeondoka sinunamuona JT? Lakin nahisi kuna fall out kubwa kati yake na BR ndo maana kaondoka. Eti ndo mfungaji wetu mkubwa msimu huu. Naona hadi aibu. Aje Carlo au klopp haijalishi ila tumegundua mwaka jana was suarez effect huyu jamaa haiwezi hii club

Cc everlenk
 
Last edited by a moderator:
Tony Barret, Bascombe, Paul Joyce, Dom King are reporting kuwa southampton wameipiga chini Bid ya 10m for Nathaniel Clyne kutoka LFC..and wanasema LFC wapo tayar kurudi na bid ya 12m..

Hao.ndo dizain ya ki na Lalana wanakuja kwa bei kubwa kisha hakuna kitu...bora tusimnunue...tunahitaji kina Sanchez
 
Out of blue, tuna makocha wawili bora sana duniani... Carlo Ancelotti na Klopp wako interested to coach liverpool!! I hope the owners will do the needful
 
Hao.ndo dizain ya ki na Lalana wanakuja kwa bei kubwa kisha hakuna kitu...bora tusimnunue...tunahitaji kina Sanchez

Nathaniel Clyne, ni mmoja kati ya wachezaji wa southampton ambao ndo tulitakiwa tuwafate last summer..

Tunahitaji sana Right Back kwa sasa, hii move ni nzuri sana, na ni £12m, siyo mbaya kwa bei ya english players, na kimekuwa kiasi hicho coz mkataba wake na southampton unakarbia kuisha..

Anafaa, siyo kama lovren, lallana au Lambert, he's good..
 
I think he will join lverpool this season given that BR anaondoka... ni ngumu sana kwa defender to sign for Liverpool!! his tactics are not good for defenders

with Ancelotti and Klopp all agreeing that they would love manage liverpool tuna ka-lifeline hasa kwa vitoto kama Sterl, itakua a very big statement kwa hawa watoto kwamba we are still big enough to attract heavyweight managers

My dream.. Klopp signs, and buy Walcott, Benteke, Kondogbia, lacazette and a box to box midfielder (na kumrudisha Reina

Then sell: Allen, Borini, Lambert, Balotelli, Kolo, STerling, Enrique
 
3rd June ikipita Rodgers bado yupo LFC, ndo itakuwa ishatoka hiyo..tutaendelea kuwa nae..

So tusubirie tuone j5 itakuwaje..
 
Ila kama FSG ni wastarabu na wanataka kutotetereka kwenye mapato ya tiketi na jezi ni vema wakafanya maamuzi sahihi ili kupunguza munkari ya fanbase

Kuletwa kwa kocha mpya ndiyo jawabu sahihi tunalo subiri fans wengi sababu Ancelotti na Klopp wapo free this summer pia wako interested na LFC

Maamuzi ambayo watayafanya ya kumbakiza BR na kujidai kufix some bugs kwenye timu nahisi litakuja kuwatokea puani na kujikuta wakimtimua BR hata katikati ya msimu na kujikuta tukikosa kila kitu.

Me siombei LFC ikacheze CL na kushinda nahitaji kuona EPL trophy tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom