MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
spurs wont sign ings, he is more likely to shine at liverpool than spuds, but is it (really) ings who we want??... Another potential?
he'll end up at spurs, i trust daniel levy,
spurs wont sign ings, he is more likely to shine at liverpool than spuds, but is it (really) ings who we want??... Another potential?
Tunataka kukatisha mapumziko ya Ancelotti aje afanye kazi Liverngoja. Niendelee kuckilizia dili hili ss
akija nitafanya sherehe najua uefa ya sita hiyo naionaIyo itakua poa.
akija nitafanya sherehe najua uefa ya sita hiyo naiona
BILD (Germany outlet) are saying Klopp is interested in the LFC job..
Manchester united succeeded ila hapa mwisho wameanza kubuma
Mkuu, naona kuna habari njema kwa Reds kuwa hata Carlo Ancelotti na yeye anataka kuifundisha Liverpool according to "the sun". Sasa sijui BR atawekwa pembeni au laa ila huu ndo muda sahihi wa kupata manager wa maana ambao wapo free sasa hivi kama BR ataondolewa.
Kolo Toure akiwa ndio beki wetu basi tuna matatizo