MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Coates ni mzuri, nakumbuka sana goli lake vs Fulham. BR hana mpango nae kabisa piga hesabu ya centre backs tuliyo nao Toure,Lovren,Sakho,Illori,Skrtel na coates hapo kuna wengine wanatakiwa kuondoka
Ilikuwa na QPR ile Loftus road pale, tulikufa 3-2 ile game..
Huyo Kolo naskia anapewa mkataba mpya wa mwaka mmoja..