Paul joyce anasema Rodgers ana beef na committee so huwa anachezesha wachezaj wake yeye mara nyingi kuliko wa commitee, na ukiangalia wachezaj aliowasajili yeye wengi ndo shit, Lovren, lambert, lallana, Joe Allen, Borini etc..
Na ni moja kati ya agenda itakayoongelewa boston, but me sion uwezekano wa Committee kupigwa chini huku rodgers akiendelea, coz kama committee ikipigwa chini ni wazi kabisa we'll be appointing a director of football (monchi/yoyote) ambaye ndo atakuwa head of transfers matters..je BR atakubali???
But, dalili zote zinaonesha he's gone, sidhan kama atasurvive, kama unakumbuka ile saga ya KD kabla hajapigwa chini, ilikuwa ni hivi hivi, na alikuwa summoned boston, na kabla ya hapo werner alikaliliwa na skysports akisema KD's job is safe, but baada ya boston tu akapigwa chini, and KD won us carling cup na we managed kufika cup finals mbili..miaka mitatu chini ya BR, no trophies and just 2 semi-finals..