Mourinho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 4,619
- 2,328
dogo umaarufu unampa kichwa sana;: just wait atakuja kuwa tu kama waingereza wenzake... yeye ni mmoja wa wachezaj wazembe sana uwanjan kwenye huu msimu na kacheza mechi karibia zote za lfc ila simwelewi kabisa
Lakini kwa upande mwingine, haya yote yamefika hapa kwa sababu ya kocha kilaza, Rodgers kafanya madudu sana kwenye man management toka atue hapo kwenu
Ukianzia kwa Mr.Liverpool mwenyewe, nenda kwa Agger, Pepe Reina, Lucas na how come kile kiazi Henderson apewe tambala mbele ya kina Skrtel? hawa nimewataja ndio walikua uti wa mgongo wa Liverpool FC, lakini angalia huyu mwehu alivyodeal nao
RS anaweza kuwa mafuta kwelikweli lakini huu ujasiri wa kuidindia club kwa kijamaa kitoto kama hicho ameupata kutokana na conducts za hovyo za Manager, hata kwenye swala la mkataba wake Rodgers ameshindwa kabisa kulimudu bila kujaza nzi, tutamlaumu sana dogo lakini hatujasikia upande wake wa story