Bado Liverpool ina nafasi ya kuingia 4 bora kama itashinda mechi zake mbili zilizosalia ikiwemo hii ya leo kwa idadi ya magoli yasiyopungua 14, ikiombea Man U aliye nafasi ya 4 ateleze katika mechi zote mbili zilizosalia.
Kila la heri Liverpool, msimuangushe SG.
Liverpool mnahitaji kuifumua timu yenu la sivyo msimu ujao mtaishia kama msimu huu...