Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,359
- 108,499
Mpwa hii timu yangu inahitaji overhauling kubwa. Haina tofauti na CCM
Leo si ajabu mkamuaga Gerald mkiwa na huzuni ya kufungwa mpwa...

Pole sana sweet.....
mr. wise & malafyale where are you bro?? nahitaji angalau picha 5 tu za tukio la kumuaga SG8, japokua c mpenz wa liver but i need it as a memorial
SG kasema alitarajia kustaafu 2016/17 siyo mapema hivi!100% BR kamuondoa SG akimhofia kuchukua kazi yake hasa kipindi kile tunaboronga
Assuredly I say to you,sooner not later SG will come back as Liverpool Coach
Dalili ziko dhahiri....