Live updates: Mkutano wa Dr Slaa uwanja wa Kwaraa Babati

I only got one ID, I don't think if there is any reason for me having multiple IDs.

Why? do you think I'm the only one who is against Dr Slaa?, well then, I'm not the only one.

As for IQ, kama CHADEMA isinge kuwepo, ungekuwa unafanya nini wewe?

Kupiga makelele ya kuwahadaa watanzania ndio unaona una IQ kubwa? mbona hiyo kazi hata Lema anaifanya kwa uzoefu wake wa kuuza mitumba na yule mwingine mwana Hip Hop.

What are you nje ya siasa? kwanza siasa zenyewe ndio hizi mnazifanya ajira, wakati ndani ya CCM siasa ni kuhudumia.

Watu wote kwenye halmashauri kuu taifa na kamati kuu wana taaluma zao, hapo CHADEMA IQ ya mtu mnaipimaje? au mtu akisema rais muasisi wa udini basi tayari anakuwa na IQ kubwa?

Think big, njaa isikufanye mtumwa wa kulamba miguu ya Mbowe na Slaa.

-Eti kama CHADEMA isingekuwepo ningefanya nini?Kabla ya hapo nilikua wapi?Duh unajadili watu usiowafahamu Vizuri.Sihitaji kuleta CV yangu hapa.Ingia kwenye mitandao kwanza utafute Taasisi ambazo nimefanya kazi kwa bidii na uaminifu Tafuta ICICI Prudential,Reliance money Company,East African Radiators,Ansi Timber,VAPS Company ambazo baadhi ya makampuni haya some of my surbodinates are members on this Forum.Uje hapa uanzishe thread tujadili(Kama yana tija kwa taifa)

Rudi kwenye mada.IQ yako kila mtu anaijua na tayari watu makini kama Mimibaba wameshakushtukia.
Jadili mada....

-
 
Last edited by a moderator:
Mimibaba

Thank you sir.Tutawapa shule tu huku tukiwakumbusha kurudi kwenye mada!
 
Last edited by a moderator:
Wakuu.

Mtakumbuka kuwa leo Dr Slaa anafanya mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Kwaraa Babati mjini.

Uwanja wa Kwaraa, Babati Mjini ndipo mahali ambapo Dkt. Slaa alimnyamazisha kbs aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, Makamba wakath wa kampeni za uchaguzi mkuu 2010, pale alipomwambia kuwa endapo ataendelea tu kusema uongo wake, angefumua siri zake kwa nini alifukuzwa kazi ya ualimu mkuu kule Kigoma. Kuanzia hapo, Makamba hakuzungumza tena kabisa lolote kuhusu Dkt. Slaa na CHADEMA hadi kampeni zilipomalizika.

YANAYOJIRI

• Lawrence Tara, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa NCCR-Mageuzi (kabla ya kuhamia CHADEMA mwaka huu), amemshangaa James Mbatia kubweteka na ubunge wa mezani, wakati ameshindwa kupigania ubunge halali ambao ulichakachuliwa na CCM hao hao mwaka 2010 Jimbo la Babati Vijijini (mgombea akiwa Tara). Amesema ameamua kuhamia kwa watu walio serious na mapambano ya kupigania haki na matumaini ya Watanzania.

• Pauline Gekul: nitaendelea kuwapigania wananchi na Watanzania wenzangu wa Babati Mjini katika nafasi yangu ya Viti Maalum, sasa tunawaonesha kuwa kuchakachua ubunge wetu mwaka 2010 hakukuwasaidia.

• Kazi ya mbunge ni kuisimamia na kuiagiza serikali. Kazi hiyo naifanya nanyi mnatambua jinsi ninavyowakaba koo kwenye ardhi yetu. Nawaomba Watanzania tuache mapenzi ya mshumaa kwa CCM, kuendelea kutumika kuimulikia huku sie tukiungua na kumalizika!

• Dkt. Slaa 'watu wa Babati mimi niliwaambia hapa kuwa Chambiri alifukuzwa kwao, akaja kugombea huku. Ninyi hamkuelewa. Simseng'enyi ni vibaya kumsema mtu kwa ubaya, lakini mbunge wenu namfahamu nimekaa naye bungeni. Wakati ule alikuwa anatokea Kenya kuja bungeni badala ya kutokea kwa wananchi wake Tarime. Si ajabu tena hata hapa haonekani.

• Dkt. 'Tanzania sasa ndiyo ina bunge, anamnukuu aliyekuwa Spika wa Bunge la Kenya Francis Ole Kapalo, ambaye alikuja wkt fulani Tz kuwafanyia wabunge semina na kusema Tz hakuna bunge, kuna mkusanyiko wa mashehe na wachungaji, hadi siku ngumi zitakapowaka bungeni kwa maslahi ya wtz ndiyo atajua kuna bunge'.

• Dkt. Slaa anasema wabunge wake kamwe hawatakaa kimya bungeni wkt twiga wanakunjwa wazima na kupandishwa ndege, tembo wanauwawa, maisha yanazidi kuwa magumu, ufisadi unaongezeka. Anasema ni unafiki kutetea amani, kuliko kuangalia rasilimali za Watanzia zikiibiwa mchana kweupe'.

• Anasema wawatukane na kuwabeza bungeni lakini mbele ya wananchi na Mungu wametimiza wajibu na wataendelea kutimiza wajibu huo bila kurudi nyuma.

• Anasema 'CCM waendelee kuchukua na kutumia sera zetu zile zile walizobeza mwaka 2010, sisi hatuna hiyana kwa sbb tunafurahi hatimaye ni Wtz wetu wananufaika. CCM watekeleze sera zetu, wasifikiri kuwa watatufilisi, mwaka 2015 tutakuja na akili mpya kabisa na tutawashangaza!

===================
Picha uwanjani hapo
===================

attachment.php

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums.

Lawrence Tara anaposema Mbatia amebweteka ana maanisha nini??? Hivi hizi siasa za kutupiana mishale ndio wananchi wa Babati wanazitaka??? mnapotezea watu muda wao kuja kusikiliza masikitiko ya huyu bwana Lawrence Tara kuukosa ubunge, si bora mnge-record mahali hii mipasho ili muisambaze kwenye vituo vyetu vya radio ichezwe kama taarabu!!!

Jambo lingine kuhusu huyu bwana Lawrence Tara, huo uchakachuaji ni ngonjera ya kitoto na wananchi hawana imani nayo tena, sana sana wanamuona kama mpuuzi tu mchumia tumbo, kama ni kweli ana amini CCM ni wachakachuaji, je, anaongeleaje majimbo yanayo milikiwa na wapinzania hapa nchini??? au atasema huko kwingine CCM ilikuwa haina mipango ya kuchakachua??? Siasa za majitaka hemu aachane nazo, ajipange upya tu.

Pauline Gekul na wewe kumbe ni walewale??? au leo umeteleza kidogo? hoja hii ya kuchakachua Dr SLAA ndio umewapandikiza hawa vijana na matokeo yake ndio haya, vijana hawakubali kabisa kushindwa na muda wote huo tangu 2010 mpaka leo bado wana maumivu ya kuamini wamechakachuliwa, hii inapunguza hali ya kujipanga kikamilifu na kudhani kuwa akitumia nguvu zile zile za 2010 atashinda, mambo hayaendi hivyo mzee!!!

NASSARI nae ndio sijaona mchango wake katika huo mkutano zaidi ya kupeleka umbea tu kwa wana Babati kwenye mambo yasiyo na msingi, hivi kuna faida gani ya kuongea mambo ya mbunge wa huko Dodoma kwa wananchi wa Babati? au ndio mmemuagiza huyu bwana mdogo hawe kama kiburudisho kwenye huo mkutano wenu? maana ni aibu kwa mtu kama Nassari kijana machachali kutumiwa na chama kuongea mambo ya umbea kwa wananchi, Nassari usiwe unakubali kila maagizo unayo pewa na CHADEMA watanzania watakuona kituko, my take, kuwa kama Zitto (mzee wa akili za kuambiwa changanya na za kwako).

Rose Kamili, naona mke halali wa Dr leo amefunguka, lakini kutokana na maelezo yake anaonyesha upeo mdogo sana katika sekta ya viwanda na biashara, akili yake hiyo ndogo inamfanya ajidhalilishe kwani ameongea pumba kiasi cha kunifanya nijiulize taratibu walizo tumia CHADEMA kutoa nafasi hizi za viti maalumu, ana amini kuwa sehemu yoyote yenye ardhi hata kama jangwa basi kiwanda kinaweza kuwekwa na kuendesha uzalishaji, hivi kwa sehemu kama Babati utaweka Kiwanda gani? hili nalo anaweza kusema serikali ni dhaifu? au yeye ndie mbovu wa kufikiri? DR SLAA huwe unawapa vijana wako elimu kidogo hata ya mambo madogo madogo maana wana kichafua chama na kwa hali hii nathubutu kusema mbadala wa CCM hapa nchini bado hatujaupata.

DR SLAA umesema umsengenyi mtu hapo hapo wenye akili tunaona una msengenya, una mdhihaki na kumkashifu mbunge wa Babati mhe. Chambiri. Sasa sijui ndio utaratibu wako wa ufanyaji wa siasa kwa kuchonganisha viongozi na wananchi wao, kwa utaratibu huu kuna maeneo utasema hivi na wananchi wenye hasira kali watashindwa kuvumilia haya maneno yako ya uzushi na watakuponda na mawe, wito wangu nakusii ubadirike tu, kwani hii inaashiria umefilisika kisiasa kwa kuishiwa taarifa za wanaoiba fedha za wananchi. Huna tena jipya mzee, viongozi wamekuwa waadilifu na hapo ndipo ulipopotezwa wewe.

DR SLAA mara kwa mara nimekuwa nikiandika humu juu ya matamko yako yenye chembechembe za kuhatarisha amani na utulivu, naona leo umeamua ukiri kuwa amani sio jambo la msingi na kusema tunao tetea amani ni wanafiki! mzee kuwa makini sana, kwani tuna watoto wadogo na tuna mama zetu ambao yakitokea hayo unayo yatafuta hawataweza kukimbia, sasa sijui tukifika huko huu ukweli unao ung'ang'ania kuuweka wazi utakuwa na faida ya nani??? nakuomba kwenye hili huwe makini sana na matamko yako, najua ni katika hali ya kujitutumua ili huwe DR SLAA wa kipindi kile ukiwa bungeni lakini ndio hivyo tena haiwezekani, huna taarifa sasa mzee, sana sana na wewe unafanya siasa za kitoto kama anazofanya Lema kuchafua tu watu, hii inazidi kukushushia heshima yako uliyoijenga ukiwa bungeni.

DR SLAA nimefurahi kuona umekiri kuwa wananchi wa Tanzania wananufaika, jambo jema sana hili, na huwe unafundisha na vijana wako wajifunze kukubali kazi nzuri inayo fanywa na serikali kupitia sera zenu tulizoiba, au sio???
 
Last edited by a moderator:
Mzee Makamba mstaarabu tu, kama ningekuwa mimi kwenye nafasi hiyo hiyo ya Makamba, ningemwambia na mimi nitazitoa siri zake (Dr Slaa) zote za kuhasi upadre. Tuone nani ingemgharimu.
Kuhasi ni kuharibu uwezo wa kiumbe cha kiume kuzaa/kuzalisha...
 
je mchumba wake josephine amesemaje huko? maana siku hizi mambo ya ndani ya chadema hujadiliwa chumbani na kutolewa na mtu asiyestahili
 
I only got one ID, I don't think if there is any reason for me having multiple IDs.

Why? do you think I'm the only one who is against Dr Slaa?, well then, I'm not the only one.

As for IQ, kama CHADEMA isinge kuwepo, ungekuwa unafanya nini wewe?

Kupiga makelele ya kuwahadaa watanzania ndio unaona una IQ kubwa? mbona hiyo kazi hata Lema anaifanya kwa uzoefu wake wa kuuza mitumba na yule mwingine mwana Hip Hop.

What are you nje ya siasa? kwanza siasa zenyewe ndio hizi mnazifanya ajira, wakati ndani ya CCM siasa ni kuhudumia.

Watu wote kwenye halmashauri kuu taifa na kamati kuu wana taaluma zao, hapo CHADEMA IQ ya mtu mnaipimaje? au mtu akisema rais muasisi wa udini basi tayari anakuwa na IQ kubwa?

Think big, njaa isikufanye mtumwa wa kulamba miguu ya Mbowe na Slaa.
mkuu kama kupeleka tembo nje kwa ndege na kufisadi watanzania, ni sehemu ya kuhudumia watu, basi dunia imekwisha!
 
Mzee Makamba mstaarabu tu, kama ningekuwa mimi kwenye nafasi hiyo hiyo ya Makamba, ningemwambia na mimi nitazitoa siri zake (Dr Slaa) zote za kuhasi upadre. Tuone nani ingemgharimu.

Mbona hakujaribu? Na kwa nini huku wasiliana naye ukampa hizo siri za Dr. Slaa? Ndio tatizo la KUBINAFSISHA AKILI. Hata la kuandika hulijui.
 
Lawrence Tara anaposema Mbatia amebweteka ana maanisha nini??? Hivi hizi siasa za kutupiana mishale ndio wananchi wa Babati wanazitaka??? mnapotezea watu muda wao kuja kusikiliza masikitiko ya huyu bwana Lawrence Tara kuukosa ubunge, si bora mnge-record mahali hii mipasho ili muisambaze kwenye vituo vyetu vya radio ichezwe kama taarabu!!!

Jambo lingine kuhusu huyu bwana Lawrence Tara, huo uchakachuaji ni ngonjera ya kitoto na wananchi hawana imani nayo tena, sana sana wanamuona kama mpuuzi tu mchumia tumbo, kama ni kweli ana amini CCM ni wachakachuaji, je, anaongeleaje majimbo yanayo milikiwa na wapinzania hapa nchini??? au atasema huko kwingine CCM ilikuwa haina mipango ya kuchakachua??? Siasa za majitaka hemu aachane nazo, ajipange upya tu.

Pauline Gekul na wewe kumbe ni walewale??? au leo umeteleza kidogo? hoja hii ya kuchakachua Dr SLAA ndio umewapandikiza hawa vijana na matokeo yake ndio haya, vijana hawakubali kabisa kushindwa na muda wote huo tangu 2010 mpaka leo bado wana maumivu ya kuamini wamechakachuliwa, hii inapunguza hali ya kujipanga kikamilifu na kudhani kuwa akitumia nguvu zile zile za 2010 atashinda, mambo hayaendi hivyo mzee!!!

DR SLAA umesema umsengenyi mtu hapo hapo wenye akili tunaona una msengenya, una mdhihaki na kumkashifu. Sasa sijui ndio utaratibu wako wa ufanyaji wa siasa kwa kuchonganisha viongozi na wananchi wao, kwa utaratibu huu kuna maeneo utasema hivi na wananchi wenye hasira kali watashindwa kuvumilia haya maneno yako ya uzushi na watakuponda na mawe, wito wangu nakusii ubadirike tu, kwani hii inaashiria umefilisika kisiasa kwa kuishiwa taarifa za wanaoiba fedha za wananchi. Huna tena jipya mzee, viongozi wamekuwa waadilifu na hapo ndipo ulipopotezwa wewe.

DR SLAA mara kwa mara nimekuwa nikiandika humu juu ya matamko yako yenye chembechembe za kuhatarisha amani na utulivu, naona leo umeamua ukiri kuwa amani sio jambo la msingi na kusema tunao tetea amani ni wanafiki! mzee kuwa makini sana, kwani tuna watoto wadogo na tuna mama zetu ambao yakitokea hayo unayo yatafuta hawataweza kukimbia, sasa sijui tukifika huko huu ukweli unao ung'ang'ania kuuweka wazi utakuwa na faida ya nani??? nakuomba kwenye hili huwe makini sana na matamko yako, najua ni katika hali ya kujitutumua ili huwe DR SLAA wa kipindi kile ukiwa bungeni lakini ndio hivyo tena haiwezekani, huna taarifa sasa mzee, sana sana na wewe unafanya siasa za kitoto kama anazofanya Lema kuchafua tu watu, hii inazidi kukushushia heshima yako uliyoijenga ukiwa bungeni.

DR SLAA nimefurahi kuona umekiri kuwa wananchi wa Tanzania wananufaika, jambo jema sana hili, na huwe unafundisha na vijana wako wajifunze kukubali kazi nzuri inayo fanywa na serikali kupitia sera zenu tulizoiba, au sio???

Kiongozi!

Naona Dr. Slaa kakugonga IKULU, eti?
 
Mzee Makamba mstaarabu tu, kama ningekuwa mimi kwenye nafasi hiyo hiyo ya Makamba, ningemwambia na mimi nitazitoa siri zake (Dr Slaa) zote za kuhasi upadre. Tuone nani ingemgharimu.
Yaani itabid Dr Slaa akuoe tuu.
haiishi siku bila kumtaja
 
Lawrence Tara anaposema Mbatia amebweteka ana maanisha nini??? Hivi hizi siasa za kutupiana mishale ndio wananchi wa Babati wanazitaka??? mnapotezea watu muda wao kuja kusikiliza masikitiko ya huyu bwana Lawrence Tara kuukosa ubunge, si bora mnge-record mahali hii mipasho ili muisambaze kwenye vituo vyetu vya radio ichezwe kama taarabu!!!

Jambo lingine kuhusu huyu bwana Lawrence Tara, huo uchakachuaji ni ngonjera ya kitoto na wananchi hawana imani nayo tena, sana sana wanamuona kama mpuuzi tu mchumia tumbo, kama ni kweli ana amini CCM ni wachakachuaji, je, anaongeleaje majimbo yanayo milikiwa na wapinzania hapa nchini??? au atasema huko kwingine CCM ilikuwa haina mipango ya kuchakachua??? Siasa za majitaka hemu aachane nazo, ajipange upya tu.

Pauline Gekul na wewe kumbe ni walewale??? au leo umeteleza kidogo? hoja hii ya kuchakachua Dr SLAA ndio umewapandikiza hawa vijana na matokeo yake ndio haya, vijana hawakubali kabisa kushindwa na muda wote huo tangu 2010 mpaka leo bado wana maumivu ya kuamini wamechakachuliwa, hii inapunguza hali ya kujipanga kikamilifu na kudhani kuwa akitumia nguvu zile zile za 2010 atashinda, mambo hayaendi hivyo mzee!!!

DR SLAA umesema umsengenyi mtu hapo hapo wenye akili tunaona una msengenya, una mdhihaki na kumkashifu. Sasa sijui ndio utaratibu wako wa ufanyaji wa siasa kwa kuchonganisha viongozi na wananchi wao, kwa utaratibu huu kuna maeneo utasema hivi na wananchi wenye hasira kali watashindwa kuvumilia haya maneno yako ya uzushi na watakuponda na mawe, wito wangu nakusii ubadirike tu, kwani hii inaashiria umefilisika kisiasa kwa kuishiwa taarifa za wanaoiba fedha za wananchi. Huna tena jipya mzee, viongozi wamekuwa waadilifu na hapo ndipo ulipopotezwa wewe.

DR SLAA mara kwa mara nimekuwa nikiandika humu juu ya matamko yako yenye chembechembe za kuhatarisha amani na utulivu, naona leo umeamua ukiri kuwa amani sio jambo la msingi na kusema tunao tetea amani ni wanafiki! mzee kuwa makini sana, kwani tuna watoto wadogo na tuna mama zetu ambao yakitokea hayo unayo yatafuta hawataweza kukimbia, sasa sijui tukifika huko huu ukweli unao ung'ang'ania kuuweka wazi utakuwa na faida ya nani??? nakuomba kwenye hili huwe makini sana na matamko yako, najua ni katika hali ya kujitutumua ili huwe DR SLAA wa kipindi kile ukiwa bungeni lakini ndio hivyo tena haiwezekani, huna taarifa sasa mzee, sana sana na wewe unafanya siasa za kitoto kama anazofanya Lema kuchafua tu watu, hii inazidi kukushushia heshima yako uliyoijenga ukiwa bungeni.

DR SLAA nimefurahi kuona umekiri kuwa wananchi wa Tanzania wananufaika, jambo jema sana hili, na huwe unafundisha na vijana wako wajifunze kukubali kazi nzuri inayo fanywa na serikali kupitia sera zenu tulizoiba, au sio???

Sijui unaandika haya ukiwa baa ama ndivyo ulivyo.Hebu soma tena haya uliyoandika halafu fanya editing!Khaa!
 
mengine umejitaidi, lakini naomba nikuulize moja tu, je undhani ccm wanahimiza amani kwa taifa letu? Je wangediriki kuchakachua matokeo ya wenyeviti wa vijiji walioshinda kupitia uchaguzi? Ccm kiujumla ni janga kwa taifa letu!
 
Mzee Makamba hana siasa za kishakunaku kama walivyo chadema wao huwa wanaangalia maisha binafsi wakati kuna mambo mengi maovu wanayafanya. Kanakambwa hawaoni uovu wao.Hivi haujiulizi ni kwanini viongozi wengi wa Ccm hawamuataki mtu ktk maisha binafsi?
Mkuu una uhakika na unachoandika au umekurupuka? Wassira kusema kuwa Dk Slaa aliiba hela za kanisa akafukuzwa upadri sio personal attack? Je vp kuhusu Lusinde kuongea habari za mtoto wa Dk. Slaa tena bungeni hiyo pesronal attack? na mifano mingine mingi nikiandika hapa siwezi kuimaliza
 
je mchumba wake josephine amesemaje huko? maana siku hizi mambo ya ndani ya chadema hujadiliwa chumbani na kutolewa na mtu asiyestahili

mwanawakukaya kwanini usianzishe thread ya update ya kikao cha jk na wabunge wa ccm?unatuaribia hewa kwenye hii thread topic ni mkutano babati josephine ametokea wapi?
 
Bavicha kazaneni kupiga mzigo msimuangushe Dr wa Ukweli siku hizi mmekuwa wavivu sana mpaka saizi uzi upo post ya 5 au Dr wa ukweli aongeze viroba.
 
Lawrence Tara anaposema Mbatia amebweteka ana maanisha nini??? Hivi hizi siasa za kutupiana mishale ndio wananchi wa Babati wanazitaka??? mnapotezea watu muda wao kuja kusikiliza masikitiko ya huyu bwana Lawrence Tara kuukosa ubunge, si bora mnge-record mahali hii mipasho ili muisambaze kwenye vituo vyetu vya radio ichezwe kama taarabu!!!

Jambo lingine kuhusu huyu bwana Lawrence Tara, huo uchakachuaji ni ngonjera ya kitoto na wananchi hawana imani nayo tena, sana sana wanamuona kama mpuuzi tu mchumia tumbo, kama ni kweli ana amini CCM ni wachakachuaji, je, anaongeleaje majimbo yanayo milikiwa na wapinzania hapa nchini??? au atasema huko kwingine CCM ilikuwa haina mipango ya kuchakachua??? Siasa za majitaka hemu aachane nazo, ajipange upya tu.

Pauline Gekul na wewe kumbe ni walewale??? au leo umeteleza kidogo? hoja hii ya kuchakachua Dr SLAA ndio umewapandikiza hawa vijana na matokeo yake ndio haya, vijana hawakubali kabisa kushindwa na muda wote huo tangu 2010 mpaka leo bado wana maumivu ya kuamini wamechakachuliwa, hii inapunguza hali ya kujipanga kikamilifu na kudhani kuwa akitumia nguvu zile zile za 2010 atashinda, mambo hayaendi hivyo mzee!!!

DR SLAA umesema umsengenyi mtu hapo hapo wenye akili tunaona una msengenya, una mdhihaki na kumkashifu mbunge wa Babati mhe. Chambiri. Sasa sijui ndio utaratibu wako wa ufanyaji wa siasa kwa kuchonganisha viongozi na wananchi wao, kwa utaratibu huu kuna maeneo utasema hivi na wananchi wenye hasira kali watashindwa kuvumilia haya maneno yako ya uzushi na watakuponda na mawe, wito wangu nakusii ubadirike tu, kwani hii inaashiria umefilisika kisiasa kwa kuishiwa taarifa za wanaoiba fedha za wananchi. Huna tena jipya mzee, viongozi wamekuwa waadilifu na hapo ndipo ulipopotezwa wewe.

DR SLAA mara kwa mara nimekuwa nikiandika humu juu ya matamko yako yenye chembechembe za kuhatarisha amani na utulivu, naona leo umeamua ukiri kuwa amani sio jambo la msingi na kusema tunao tetea amani ni wanafiki! mzee kuwa makini sana, kwani tuna watoto wadogo na tuna mama zetu ambao yakitokea hayo unayo yatafuta hawataweza kukimbia, sasa sijui tukifika huko huu ukweli unao ung'ang'ania kuuweka wazi utakuwa na faida ya nani??? nakuomba kwenye hili huwe makini sana na matamko yako, najua ni katika hali ya kujitutumua ili huwe DR SLAA wa kipindi kile ukiwa bungeni lakini ndio hivyo tena haiwezekani, huna taarifa sasa mzee, sana sana na wewe unafanya siasa za kitoto kama anazofanya Lema kuchafua tu watu, hii inazidi kukushushia heshima yako uliyoijenga ukiwa bungeni.

DR SLAA nimefurahi kuona umekiri kuwa wananchi wa Tanzania wananufaika, jambo jema sana hili, na huwe unafundisha na vijana wako wajifunze kukubali kazi nzuri inayo fanywa na serikali kupitia sera zenu tulizoiba, au sio???

Waambieni wakubwa wenu ndani ya CCM na serikali yake ili wamalize ngwe yao inayoelekea ukingoni kwa kasi, watende haki, watoe matumaini kwa wananchi, amani ni tunda la haki. Mmekuwa watu wa ajabu kiasi mnasahu hata Mwalimu Nyerere aliwahi kusema Watanzania watakuwa mazuzu kama si wapumbavu kuendelea kuishi kwa ngonjera za amani na utulivu wakati hawaoni haki ikitendeka na matumaini yakipotea.

That is the bottom line, for peace and tranquility, kama mko serious na nchi hii na watu wake...do justice and bring hopes to Tanzanians...

Kama hamuamini katika haki na matumaini ya wananchi kwa ajili ya amani na utulivu wa kweli katika nchi hii, CHADEMA ndipo inaposimamia na ndipo hoja ya Dkt. Slaa ilipo hapo.

Amani haiumbwi kwa maneno yenu ya jukwaani kuimba 'amani na utulivu, amani na utulivu, amani na utulivu'
 
Tatizo la kutoka kwenye familia zinazocheza kiduku,hata wangeenda shule vipi bado bongo zao hazijafanikiwa kuchambua,wakati gani ichezwe kiduku na wakati gani kupigania taifa kwi kwi kwi msamvu boy poleni sana miezi imebaki michache kuhama magogoni tunawasubiria mtaani.
 
Mkuu una uhakika na unachoandika au umekurupuka? Wassira kusema kuwa Dk Slaa aliiba hela za kanisa akafukuzwa upadri sio personal attack? Je vp kuhusu Lusinde kuongea habari za mtoto wa Dk. Slaa tena bungeni hiyo pesronal attack? na mifano mingine mingi nikiandika hapa siwezi kuimaliza

Hiyo sio personal attack hiyo ni tuhuma nzito inayoitaji majibu kwakuwa ndani kuna maslahi ya watu yamekiukwa tofautisha na unapomuambia mtu ni malaya sijui alimpa mwanfunzi mimba hizi sio siasa safi hasa kwa mtu ambaye mwenyewe sio msafi.
 
Back
Top Bottom