MwanaDiwani
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 5,536
- 2,268
Ni vigumu kukaa na kusikiliza kelele za wanasiasa wa Tanzania ambao midomo yao imejaa flip-flop on number of nation issues na kupata definite decision. Hili la kusema CCM inatumia Polisi na UWT ni hearsay na kwa maana hii, the jury is still out.Haihitaji intelijensia wala kirusi kujua kuwa CCM inatumia mbinu ya kuwatumia polisi na uwt kupambana na CDM. Hata hivyo CDM ni werevu kama nyoka na wenye busara kama njiwa. Ndio maana methodology ya M4C ilibadilishwa tangia tukio la Mwangosi, polisi walipothibitisha nia ya kuhijack zile movements. Tangia hapo hujawahi kusikia tena CDM wakiclaim maandamano ya mkoa kwa mkoa. Sasa CCM mmebaki mmeduwaa maana hamjui mshike wapi na vijimbinu vya kutumia polisi CDM imeshapata mbinu ya kuvifanya badala ya kuwafaidisha nyie, vinawafaidisha wao.
CCM pia kutokana na udhaifu wa serikali mnayoiongoza mmekuwa mkifanya makosa mengi kiuchumi na kijamii ambayo kwa kuwapotezea nyie credits, yanawapa CDM automatic advantage. Fikiria kwa mfano matukio ya ardhi Loliondo, gesi Mtwara, korosho Lindi, f4 results nchi nzima, nk... Yaani kwa hayo matukio wapinzani walikuwa wamelala asubuhi wakaamka wakakutana na maelfu ya kura mlangoni... Kazi yao ni kuzivutia ndani tu....
Serikali ipo kwa ajiri ya kutenda na ku-deliver, kwa maana hii haiwezi kukimbia kufanya difficult decision ambazo zingine politically zinakuwa na negative impact kwenye chama. CHADEMA wanaweza kuwa wanachekelea decisions kama hizi lakini kwa chama makini hakiwezi kucheka kwa sababu kitajua kama KESHO kitakuwa pia kwenye hali kama hii.
Ni kweli kwamba kuna decisions zingine ambazo serikali inakosea lakini hakuna maraika hapa duniani hasa ambapo kuna competing interest kuweza kutenda bila kuwa na mashimo katika utendaji wake. Kwenye msafara wa mamba, kenge pia hawakosekani.
CHADEMA bado sana kuweza kupewa DOLA na wananchi zaidi ya uwenyekiti wa mitaa, udiwani na ubunge ili kuikosoa serikali ya CCM pale inapoacha njia katika utendaji wake. Nothing more.