Live updates: Mkutano wa Dr Slaa uwanja wa Kwaraa Babati

Live updates: Mkutano wa Dr Slaa uwanja wa Kwaraa Babati

Nimejaribu kusoma comment zako katika nyuzi mbali mbali. Kwa sababu ya uwezo wako mdogo katika kujibu hoja za msingi, unachofanya ni kuwapachika wanaJF majina na kuwafananisha na yeyote yule ambaye kwa fikra zako finyu, unadhani unamfahamu. This is more than stupidity rationally ambayo hutaipata kwingine zaidi ya kwenye ofisi za BAVICHA na katika watu walioajiriwa na Dr. Slaa kufanya kazi kwenye mitandao huku wakiwa na more than DOZEN FAKE ID's. Who care?.

Jibu hoja, kazi ya kubainisha multiple ID's waachie JF Mod's.

Mkuu fuatilia sana haka ka ID hata sijui kamepigwa pini akaamua kuja na nyingine (L....e). Huyo dogo alimporomoshea mama zitto na mtoto wake matusi ambayo mtu uliyekamilimika kama binadamu lazima utoe machozi. Hilo jina kwenye bracket nimeliweka herufi ya mwanzo na mwisho kama umezoea humu utakuwa rahisi kumjua.
 
Mzee Makamba hana siasa za kishakunaku kama walivyo chadema wao huwa wanaangalia maisha binafsi wakati kuna mambo mengi maovu wanayafanya. Kanakambwa hawaoni uovu wao.
Hivi haujiulizi ni kwanini viongozi wengi wa Ccm hawamuataki mtu ktk maisha binafsi?

Acha utahira mkuu, ni nani mwanzilishi wa siasa za personal attack ? Kwani mnavyo hubiri eti Dr. Slaa alikimbia u-padre, Mara Oooo ametelekeza familia, mara OOoo amechukua mke wa mtu, hizo ndo sera za CCM ?
 
Dr. Slaa has to work very hard and campaign rigorously kwa sababu 2015 kwake is DO or DIE. Come 2015, he'll be 68 and legally Pensioner. Kitu kinachoonekana kwa sasa ni desperation and lack of attention to kosher details.

I can't see him getting anything from his disjointed campaign after general election 2015. Kwa mentality hii anayoionyesha katika campaign na majibu mbali mbali mitandaoni. He still has a long way to go kupewa ufunguo wa nyumba ya taifa.

Kutoka mwaka 2010 amekuwa akifanya presidential election campaign day in, day out lakini hakuna kitu kilichobadilika zaidi za kuongeza kelele ambazo hazina kishindo chochote cha maana katika mtazamo wa Watanzania kama political trends zinavyoonyesha.

We have been here!. This is up to the mark and feel good to BAVICHA mentality but not a thing to Tanzania political landscape.
Really?
Political trends zipi zinakuonyesha hakuna mabadiliko , na unaziona wapi wakati kutwa kuchwa uko kwenye laptop? By the way, mna mbinu zipi mpya za kupigania hilo jimbo mlilopoteza kwa miaka 10?
 
Zaidi ya mara elfu moja Kikwete kasema baada ya uchaguzi uchaguzi mpya unaanza,kikwete rafiki yake lowassa rostam walitengeneza mtandao ambao walihakikisha wanapaka matope kila mtu waliyemuona ni kikwazo kwenye safari yao ya uraisi,kwa laana aliyoingia nayo ikulu ya kudhulumu watu kutukana watu,kudharau wale waliomtangulia kufitinisha wattu Kikwete anatawala kwa taabu wmache Dr Slaa ajenge chama if he was meant to be a leader of this country he will hakuna atakayezuia
This is BAVICHA ratiocinate.

''Zaidi ya mara elfu moja'', ''kikwete rafiki yake lowassa rostam'', ''kwa laana aliyoingia nayo ikulu''.

Binadamu mwenye fikra na mtazamo kama huyu inawia vigumu sana kwa mtu mwenye fikra pevu kupata premise ya kuanza kumwelimisha.

I'm sorry, utakuwa umekosea njia, hili siyo jukwaa la vijiwe vya kahawa na BAVICHA. How can you substantiate such garbage make out?.

I have nothing to add!!
 
Angalia hapo unaweza kupata habari katika picha hizi.a
 
Attachments

  • Chadema 016.JPG
    Chadema 016.JPG
    287.2 KB · Views: 88
  • Chadema 027.JPG
    Chadema 027.JPG
    390.5 KB · Views: 80
  • Chadema 012.JPG
    Chadema 012.JPG
    348.5 KB · Views: 70
  • Chadema 029.JPG
    Chadema 029.JPG
    337.7 KB · Views: 70
Acha utahira mkuu, ni nani mwanzilishi wa siasa za personal attack ? Kwani mnavyo hubiri eti Dr. Slaa alikimbia u-padre, Mara Oooo ametelekeza familia, mara OOoo amechukua mke wa mtu, hizo ndo sera za CCM ?
Hizi siyo sera kwa chama chochote cha siasa achilia mbali CCM.

Hiki ni kipimo cha kiongozi yoyote katika nchi yenye siasa za misingi ya demokrasia endelevu. Huwezi kuwa na kiongozi wa hovyo hovyo hata kama sera za chama chake ni nzuri.

Kiongozi wa hovyo hovyo, huzaa uongozi wa hovyo hovyo ambao huzaa vile vile jamii ya hovyo hovyo. Dr. Slaa has to talk the talk and walk the walk.
 
This is BAVICHA ratiocinate.

''Zaidi ya mara elfu moja'', ''kikwete rafiki yake lowassa rostam'', ''kwa laana aliyoingia nayo ikulu''.

Binadamu mwenye fikra na mtazamo kama huyu inawia vigumu sana kwa mtu mwenye fikra pevu kupata premise ya kuanza kumwelimisha.

I'm sorry, utakuwa umekosea njia, hili siyo jukwaa la vijiwe vya kahawa na BAVICHA. How can you substantiate such garbage make out?.

I have nothing to add!!
You better stop, if you think you can preach UVCCM lost ideology to us then I am sorry, we are not here to listen from your rubbish, what is wrong with you, are you frustrated being an JF agent for UVCCM ,this is an open forum , a public domain for all members you cant dictate terms for me you cant insult me either ,if you think you cant cope with the truth then you can park off and go ,truly you are missing Bavicha
 
Hizi siyo sera kwa chama chochote cha siasa achilia mbali CCM.

Hiki ni kipimo cha kiongozi yoyote katika nchi yenye siasa za misingi ya demokrasia endelevu. Huwezi kuwa na kiongozi wa hovyo hovyo hata kama sera za chama chake ni nzuri.

Kiongozi wa hovyo hovyo, huzaa uongozi wa hovyo hovyo ambao huzaa vile vile jamii ya hovyo hovyo. Dr. Slaa has to talk the talk and walk the walk.
hujui unaongea nini hujawahi kuleta thread au kupost kitu chochote cha kufikilisha wana JF zaidi ya kumuattack Dr Slaa moderators wamekuacha hapa kwa sababu wanajua dunia nzima huwa kuna mahooligan na lazima uishi nao ,kama uongo retrieve posts zako zote zimwage hapa hata kama ndio book 7 za Lumumba basi ungezitumia vizuri
 
Watatukana sana lakini CDM inaelekea kule ambapo wengi tunapasubiri kwa hamu. trela hii itafuatiwa na na sinema nzima mwaka 2015
 
Really?
Political trends zipi zinakuonyesha hakuna mabadiliko , na unaziona wapi wakati kutwa kuchwa uko kwenye laptop? By the way, mna mbinu zipi mpya za kupigania hilo jimbo mlilopoteza kwa miaka 10?

Look, Tanzania haijasimama kiuchumi, kisiasa na kijamii tokea ipate uhuru. Tanzania ya baada ya uhuru siyo Tanzania ya leo na ilikuwa pia Tanzania nyingine just after 1992 achilia mbali Tanzania ya 2010.

Hakuna extra impact yoyote iliyopatikana kulingana na mabadiliko ambayo yalikuwa yanafanyika kabla ya 2010 up to now.

Mbinu za kupigania jimbo kwa chama tawala chochote duniani ziko tatu tu. 1) mbinu ya kiuchumi 2) mbinu ya kisiasa 3) mbinu ya kijamii.

Mbinu za kiuchumi na kijamii kila mwenye macho haambiwi tazama lakini mbinu za kisiasa ziko sawa na mbinu za medani za kivita. Hizi ni mbinu za SIRI ambazo kwa chama makini huwezi kusikia zinasemwa nje ya mikutano ya ndani ya chama. CCM haina 'kirusi/virusi kama CHADEMA. Utakuwa unapoteza muda kutaka kujua mbinu za kisiasa za CCM kwa vile tu za CHADEMA huwa zinavuja mapema kabla ya kuanza kufanyiwa kazi.
 
Mkuu fuatilia sana haka ka ID hata sijui kamepigwa pini akaamua kuja na nyingine (L....e). Huyo dogo alimporomoshea mama zitto na mtoto wake matusi ambayo mtu uliyekamilimika kama binadamu lazima utoe machozi. Hilo jina kwenye bracket nimeliweka herufi ya mwanzo na mwisho kama umezoea humu utakuwa rahisi kumjua.
Pole wewe na mama yako mulitaka kusimamisha dunia kwa uongo wenu mbona yule mwanachadema aliyemfahamu mama yako hamjampeleka polisi mpaka leo wewe ni kiwavi na mvurugaji , wa chama chenu kazi yako kuja hapa kuvuruga thread zote zinazohusu chadema na dr Slaa sasa tumekufuatilia na tunakujua kwamba wewe ni mmoja wa familia hiyo na mama yako mumeula wa chuya dunia nzima inajua na Tanzania inajua kwamba nyie ni wafitini this is my ID and am proud to use it
 
You better stop, if you think you can preach UVCCM lost ideology to us then I am sorry, we are not here to listen from your rubbish, what is wrong with you, are you frustrated being an JF agent for UVCCM ,this is an open forum , a public domain for all members you cant dictate terms for me you cant insult me either ,if you think you cant cope with the truth then you can park off and go ,truly you are missing Bavicha
I have said, I have nothing to ADD.

Hakuna kitu cha kuchangia kwenye mabandiko yako haya yaliyojaa akili na fikra za ki-BAVICHA BAVICHA.

Tatizo watu kama wewe ambao mmepewa kazi ya kumtetea Dr. Slaa mitandaoni bila hata kupewa induction interview, matokeo yake ndiyo haya. You're just making noise for nothing. Badala ya kumjenga Dr. Slaa na kuijenga CHADEMA kama alivyodhamilia, matokeo yake unakuwa upo kujaza JF saver with empty rhetoric.

Huna political impact yoyote hapa JF zaidi ya kufurahisha wajinga kwa udaku unaokuja nao hapa hata kujifanya unawafahamu watu walioko nyuma ya legally JF ID's.

Unaishi katika dunia ya kufikirika, ndiyo maana katika mawazo yako haya FINYU unafikiri Rais KIkwete ame LAANIWA.
 
I have said, I have nothing to ADD.

Hakuna kitu cha kuchangia kwenye mabandiko yako haya yaliyojaa akili na fikra za ki-BAVICHA BAVICHA.

Tatizo watu kama wewe ambao mmepewa kazi ya kumtetea Dr. Slaa mitandaoni bila hata kupewa induction interview, matokeo yake ndiyo haya. You're just making noise for nothing. Badala ya kumjenga Dr. Slaa na kuijenga CHADEMA kama alivyodhamilia, matokeo yake unakuwa upo kujaza JF saver with empty rhetoric.

Huna political impact yoyote hapa JF zaidi ya kufurahisha wajinga kwa udaku unaokuja nao hapa hata kujifanya unawafahamu watu walioko nyuma ya legally JF ID,s.

Unaishi katika dunia ya kufikirika, ndiyo maana katika mawazo yako haya FINYU unafikiri Rais KIkwete ame LAANIWA.
Are you running mad unasema hutajibu mabandiko yangu halafu unajibu kwa hiyo wewe unadhihirisha kwamba UVCCM wamekupa kazi ya kudis na kuminsult Dr Slaa manake sisi tunajibu post zako za matusi kwa Kiongozi wa chadema ,kwa hiyo unathibitisha asilimia mia kwamba wewe umelipwa na umewekwa hapa kumtukana Dr slaa, sasa hatutaruhusu jamvi kugeuzwa kuwa la kuaattack personalities za watu ndio maana tunakuzaba vibao vya uso kwa facts

,Tangu uingie kwa ID mpya baada ile ya mwa kutunguliwa umepost mara 699 post hizo zote unatukana DR Slaa sasa utaniambia political contribution gani umefanya wewe hapa unaiattack Bavicha ndio ilikufanya ukawa ulivyo with regrets and anger against your own decision kuasi bavicha sasa umeguka mumiani wa kukandia bavicha na Dr Slaa

Jamvi hili ni la kupeana taarifa,kujifunza na kupashana habari lakini sio kuzungumzia maisha ya watu ,hiyo haikubaliki, narudia kukuambia make it sink into your thick head I am here to remain and to maximize my freedom to communicate nyie munaowekwa kwa book saba Lumumba muna matatizo sana wakiwapunja munakuja jamvini wakali kama pilipili jadili mda achana na Dr Slaa hata Kikwete hamuwezi
 
Hapa utulivu umetawala hakuna POLICCM. Hongera sana wananchi wapenda amani.
 
Ha!ha!Ha,

Kauli zako hizi zimekuwa Kama kiburudisho. Sasa nimeamini au ulna tatizo la ignorance, and seems you are untrainable material. Kwa Taarifa ya wale ambao hawajui utaratibu wa Kanisa Katoliki,
I) Padre wa Kanisa Katoliki ni kweli anaweza kuasi au anapewa Kibali maalum na Papa kinaitwa Decree of Laizization.
2) Padre aliyepewa Decree of Laizization anapewa katika instrument hiyo hiyo, mambo anayoweza kufanya na ambayo hawed kufanya na utaratibu wa kufanya ikiwa ni pamoja na Utaratibu wa Kufunga Ndoa.

3) Dr Slaa hakuasi Bali alipewa Decree of Laizization kwa utaratibu wa Kanisa Katoliki. Kama hufahamu utaratibu wa mambo ya watu waachie wanaoyajua,I vinginevyo utaonekana Pumbuani.

4) Waliomfanyia Sherehe ya Upadre Padre Slaa ni wananchi wa Karatu, na hao hao wanaojua history na Maisha ya Dr Slaa ndio waliomwomba awe Mbunge wao kwanza kwa ticket ya CCM ( na nikashinda kura ya maoni). Hao hao wananchi wa Karatu ndio waliomchagua kwa kura bila kuhonga Dr Slaa Mara 3 (tatu!). Wanaomjua Dr Slaa wanakushangaa. Endelea tu na kelele zako haina impact kwa yeyote, isipokuwa wale wa aina yako tu.

Wakati unahangaika na Dr Slaa, maelfu ya Wananchi Babati wamefurika uwanjani wakigombea kumsikiliza Dr. Slaa. endelea kuwa Katibu mwenezi wangu, kwani umaarufu wa mtu unajengwa kwa kumtangazia mema au mabaya. Tutapiga mguu kila kijiji hadi kieleweke.

Dr ubarikiwe sana kwa kazi yenye baraka milele unaofanya kwa watanzania, asante sana kwa kumjibu huyo mburula anaye hoji eti uliasi kanisa katoliki? wambie waliokutuma wanaendelee kutusaidia kueneza sera zetu.
 
Mzee Makamba hana siasa za kishakunaku kama walivyo chadema wao huwa wanaangalia maisha binafsi wakati kuna mambo mengi maovu wanayafanya. Kanakambwa hawaoni uovu wao.
Hivi haujiulizi ni kwanini viongozi wengi wa Ccm hawamuataki mtu ktk maisha binafsi?

Kwa nini huwa mnajitoa fahamu mnapoandika, Hivi waliosema yafuatayo ni viongozi wa chama gani?

1. Dr. Slaa katelekeza Familia, kapola mke wa mtu hadi mkatengeneza kesi isiyo na kichwa wala miguu ikaishia hewani.
2. Mbowe ni Form six failure amekalia uDJ na anaharibu vijana wetu kwa kuendesha biashara ya Ukumbi na muziki pale Bilcanas

Yapo mengi nimeishia hayo machache ili kupingana na andiko lako hapo kwenye RED
 
Makamba alifukuzwa ualimu Kigoma baada ya kuwapa mimba wanafunzi shuleni. Haya na wewe lete santuri yako kuhusu Dr Slaa.

Hii tuhuma nzito ilimnyamazisha completely Makamba na HATAKI tena kujihusisha na siasa za kumchafua Dr Slaa!
 
Look, Tanzania haijasimama kiuchumi, kisiasa na kijamii tokea ipate uhuru. Tanzania ya baada ya uhuru siyo Tanzania ya leo na ilikuwa pia Tanzania nyingine just after 1992 achilia mbali Tanzania ya 2010.

Hakuna extra impact yoyote iliyopatikana kulingana na mabadiliko ambayo yalikuwa yanafanyika kabla ya 2010 up to now.

Mbinu za kupigania jimbo kwa chama tawala chochote duniani ziko tatu tu. 1) mbinu ya kiuchumi 2) mbinu ya kisiasa 3) mbinu ya kijamii.

Mbinu za kiuchumi na kijamii kila mwenye macho haambiwi tazama lakini mbinu za kisiasa ziko sawa na mbinu za medani za kivita. Hizi ni mbinu za SIRI ambazo kwa chama makini huwezi kusikia zinasemwa nje ya mikutano ya ndani ya chama. CCM haina 'kirusi/virusi kama CHADEMA. Utakuwa unapoteza muda kutaka kujua mbinu za kisiasa za CCM kwa vile tu za CHADEMA huwa zinavuja mapema kabla ya kuanza kufanyiwa kazi.
Haihitaji intelijensia wala kirusi kujua kuwa CCM inatumia mbinu ya kuwatumia polisi na uwt kupambana na CDM. Hata hivyo CDM ni werevu kama nyoka na wenye busara kama njiwa. Ndio maana methodology ya M4C ilibadilishwa tangia tukio la Mwangosi, polisi walipothibitisha nia ya kuhijack zile movements. Tangia hapo hujawahi kusikia tena CDM wakiclaim maandamano ya mkoa kwa mkoa. Sasa CCM mmebaki mmeduwaa maana hamjui mshike wapi na vijimbinu vya kutumia polisi CDM imeshapata mbinu ya kuvifanya badala ya kuwafaidisha nyie, vinawafaidisha wao.
CCM pia kutokana na udhaifu wa serikali mnayoiongoza mmekuwa mkifanya makosa mengi kiuchumi na kijamii ambayo kwa kuwapotezea nyie credits, yanawapa CDM automatic advantage. Fikiria kwa mfano matukio ya ardhi Loliondo, gesi Mtwara, korosho Lindi, f4 results nchi nzima, nk... Yaani kwa hayo matukio wapinzani walikuwa wamelala asubuhi wakaamka wakakutana na maelfu ya kura mlangoni... Kazi yao ni kuzivutia ndani tu....
 
Back
Top Bottom