T.Mwambungu
Senior Member
- Jan 25, 2013
- 198
- 43
Last edited by a moderator:
Ha!ha!Ha,
Wakati unahangaika na Dr Slaa, maelfu ya Wananchi Babati wamefurika uwanjani wakigombea kumsikiliza Dr. Slaa. endelea kuwa Katibu mwenezi wangu, kwani umaarufu wa mtu unajengwa kwa kumtangazia mema au mabaya. Tutapiga mguu kila kijiji hadi kieleweke.
Kama unarepent zambi zako kwamba utaacha kuattack viongozi wa chadema na maisha yao basi ni uamuzi wa busara,leo hii NAPE na Kinana wanazunguka na Mtela na Shonza kwa sababu wanatukana viongozi wa chadema matusi ya nguoni,kama umeamua kubadirika tutakushangaa angalia posti zako,Makamba ndio mwalimu wa siasa za maji taka nchi hii hata Sitta alimsema makamba kuwa bingwa wa siasa za maji taka na CCM kwa ujumla
mda bado upo watakimbikimbia sana ila wataisoma tu hapo baadaye.HAM-D, dr. slaa hakulazimika kubaki padre kwa kuwa kuwa padre ni uamuzi wa mtu mwenyewe kwa hiyo hata makamba angeolea hilo wala isingekuwa shida. Pia kumbuka kuwa suala la Dr. Slaa siyo siri kwamba watu hawajui. Dr. Slaa alisema angefumua siri za Makamba za udhaifu alionesha wakati wa kutimiza wajibu wake kwa wananchi
Dr Slaa kuwa alikuwa Padri ni fact na kwamba aliacha upadri kwa taratibu zao ni fact kwa hiyo hakuasi kama unavyosema,Lakini Makamba kubaka mtoto wa shule na kukimbia mpaka kuacha ukuu wa shule kigoma ni fact anahitajika kufunguliwa kesi ya ubakaji
OMzee Makamba mstaarabu tu, kama ningekuwa mimi kwenye nafasi hiyo hiyo ya Makamba, ningemwambia na mimi nitazitoa siri zake (Dr Slaa) zote za kuhasi upadre. Tuone nani ingemgharimu.
Ha!ha!Ha,
Kauli zako hizi zimekuwa Kama kiburudisho. Sasa nimeamini au ulna tatizo la ignorance, and seems you are untrainable material. Kwa Taarifa ya wale ambao hawajui utaratibu wa Kanisa Katoliki,
I) Padre wa Kanisa Katoliki ni kweli anaweza kuasi au anapewa Kibali maalum na Papa kinaitwa Decree of Laizization.
2) Padre aliyepewa Decree of Laizization anapewa katika instrument hiyo hiyo, mambo anayoweza kufanya na ambayo hawed kufanya na utaratibu wa kufanya ikiwa ni pamoja na Utaratibu wa Kufunga Ndoa.
.