Live updates: Mkutano wa Dr Slaa uwanja wa Kwaraa Babati

Safi sana , Dr Slaa endelea kupukutisha Magamba ! PIIPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOZZZ !!!!!
 
Upadre unaitaji uwe kauzu kweli otherwise itakuwa hatari sana. Nakumbuka mamdogo wangu anayeitwa Vicky alipewa kitambi na padri halafu wakamfukuza mama padri wakamspire then bila huruma yule padri kwakuwa yeye ni mzungu kaja kumpokonya mama mdogo mtoto na kummpeleka Uingereza huku mama akila shida. Bora dr uliamua kuomba kujitoa kuliko kubakia then ukafanya uovu kama huyu padre alienikabia mamdogo wangu.
kumbe Kutukana imani za watu ni tatizo lako la muda mrefu maana chuki zako za kidini kwenye posts za nyuma ni za ajabu sana.kuingia kwa ID fake hapa na kuandika mambo ya aina hii kunakudhalilisha binafsi.Dhamira binafsi ni mahakama kubwa kuliko zote.Utateseka sana Moyoni kaka!I pity you
 
Mzee Makamba mstaarabu tu, kama ningekuwa mimi kwenye nafasi hiyo hiyo ya Makamba, ningemwambia na mimi nitazitoa siri zake (Dr Slaa) zote za kuhasi upadre. Tuone nani ingemgharimu.

Ngeli ya ngenge! Ndo mana hukuwa makamba
 
I am a bit curious kuhusu hii decree of Laicization

‘Canon Law 507 states that any priest who can no
longer accept all of the tenants on the Church of Rome, teach and preach same,
is bound by conscience to ask for release from the priesthood’

Mkuu ni sababu gani iliyokufanya uachane na majukumu ya upadri?

– Vipi hiyo decree imeku exempt na hii kitu inaitwa Obligation of celibacy?

Any support?

Hivi wewe ni lugha inakusumbua au una tatizo lingine la asili?

Busara nikuomba translation ya Lugha kwanza kuliko kujidhalilisha hivi.
 
Mzee Makamba mstaarabu tu, kama ningekuwa mimi kwenye nafasi hiyo hiyo ya Makamba, ningemwambia na mimi nitazitoa siri zake (Dr Slaa) zote za kuhasi upadre. Tuone nani ingemgharimu.
Nisababu zipi mkuu? Au nawe huzijui kama makamba?? No research no right to speak!
 
Ha!ha!Ha,

Kauli zako hizi zimekuwa Kama kiburudisho. Sasa nimeamini au ulna tatizo la ignorance, and seems you are untrainable material. Kwa Taarifa ya wale ambao hawajui utaratibu wa Kanisa Katoliki,
I) Padre wa Kanisa Katoliki ni kweli anaweza kuasi au anapewa Kibali maalum na Papa kinaitwa Decree of Laizization.
2) Padre aliyepewa Decree of Laizization anapewa katika instrument hiyo hiyo, mambo anayoweza kufanya na ambayo hawed kufanya na utaratibu wa kufanya ikiwa ni pamoja na Utaratibu wa Kufunga Ndoa.

3) Dr Slaa hakuasi Bali alipewa Decree of Laizization kwa utaratibu wa Kanisa Katoliki. Kama hufahamu utaratibu wa mambo ya watu waachie wanaoyajua,I vinginevyo utaonekana Pumbuani.

4) Waliomfanyia Sherehe ya Upadre Padre Slaa ni wananchi wa Karatu, na hao hao wanaojua history na Maisha ya Dr Slaa ndio waliomwomba awe Mbunge wao kwanza kwa ticket ya CCM ( na nikashinda kura ya maoni). Hao hao wananchi wa Karatu ndio waliomchagua kwa kura bila kuhonga Dr Slaa Mara 3 (tatu!). Wanaomjua Dr Slaa wanakushangaa. Endelea tu na kelele zako haina impact kwa yeyote, isipokuwa wale wa aina yako tu.

Wakati unahangaika na Dr Slaa, maelfu ya Wananchi Babati wamefurika uwanjani wakigombea kumsikiliza Dr. Slaa. endelea kuwa Katibu mwenezi wangu, kwani umaarufu wa mtu unajengwa kwa kumtangazia mema au mabaya. Tutapiga mguu kila kijiji hadi kieleweke.
Hii ni shule tosha kabisa. hebu tupeni updates na picha.
 
I am a bit curious kuhusu hii decree of Laicization

‘Canon Law 507 states that any priest who can no
longer accept all of the tenants on the Church of Rome, teach and preach same,
is bound by conscience to ask for release from the priesthood’

Mkuu ni sababu gani iliyokufanya uachane na majukumu ya upadri?

– Vipi hiyo decree imeku exempt na hii kitu inaitwa Obligation of celibacy?

Any support?

Tungekuwa na wachangiaji wenye kufikiri kwa mapana na marefu kama wewe tungeweza kuwatathmini viongozi wetu kwa kina na kujua nia zao kama kweli ni za dhati hama laha, kwa kuzijua historia zao kwanza, sasa hapo ulipo uliza swali ndio kuna kila siri ya huyu mzee na sababu zilizo mpelekea kuasi.

Dr Slaa naomba utupe historia yako hapa, watu wengi wanakujua jina na cheo chako cha upadre, kama ulivyo nijibu kuwa wana Karatu walikuona unafaa kwa kuwa wanaijua historia yako, basi na sisi tusio kuona unafaa utupe angalau historia yako kidogo ili nasi tuweze kuifanya kazi ya kujitolea ya kuwa wenezi wako bila malipo, kwa mantiki hii hii, umesha sema utagombea tena urais.
 
Chadema mnashida sana.Hivi Babu unawaza kushika hii nchi Takatifu kweli mwogope Mungu utafanya hii nchi ilaanike mbele ya Mungu

Hizo picha za umma wa leo Babati lazima ziwatemeshe Nyongo leo! Gosh!
 
Tungekuwa na wachangiaji wenye kufikiri kwa mapana na marefu kama wewe tungeweza kuwatathmini viongozi wetu kwa kina na kujua nia zao kama kweli ni za dhati hama laha, kwa kuzijua historia zao kwanza, sasa hapo ulipo uliza swali ndio kuna kila siri ya huyu mzee na sababu zilizo mpelekea kuasi.

Dr Slaa naomba utupe historia yako hapa, watu wengi wanakujua jina na cheo chako cha upadre, kama ulivyo nijibu kuwa wana Karatu walikuona unafaa kwa kuwa wanaijua historia yako, basi na sisi tusio kuona unafaa utupe angalau historia yako kidogo ili nasi tuweze kuifanya kazi ya kujitolea ya kuwa wenezi wako bila malipo, kwa mantiki hii hii, umesha sema utagombea tena urais.

Unaingia na ID nyingine kujipobgeza.?Hii JF imeingiliwa na low IQs.

You must be suffering from identity crisis
 
kumbe Kutukana imani za watu ni tatizo lako la muda mrefu maana chuki zako za kidini kwenye posts za nyuma ni za ajabu sana.kuingia kwa ID fake hapa na kuandika mambo ya aina hii kunakudhalilisha binafsi.Dhamira binafsi ni mahakama kubwa kuliko zote.Utateseka sana Moyoni kaka!I pity you

Napata shida sana na uelewa wako kwakuwa hapo hakuna hata chembe ya tusi nimeeleza kilichomkuta mama yangu anaezaliwa tipically na baba yangu her name ni Vicky Laurent na makao yao makuu ikiwa ni Kongei Lushoto na padri alikuwa anaishi Sakarani huko Soni, kaka vipi mbona mwepesi sana wa kutoa conclusion?
 
Soma post yako upya.Sikurupuki.

Huwezi kuandika kwamba unatakiwa kuwa "KAUZU" ili kuwa Padre huku ukijua mapadre ni viongozi wa dini kama walivyo masheikh.Hata wasio na Dini wanastahili kuheshimiwa.

Masuala ya kiimani yapo emotionally charged.Your post was uncalled for.Grow up!
 
Kaka kama ukauzu ndio tusi i am so sorry what i intended to derive ni uvumilivu kwa padri juu ya suala la kufanya tendo la ndoa na si vingine.
 
Tungekuwa na wachangiaji wenye kufikiri kwa mapana na marefu kama wewe tungeweza kuwatathmini viongozi wetu kwa kina na kujua nia zao kama kweli ni za dhati hama laha, kwa kuzijua historia zao kwanza, sasa hapo ulipo uliza swali ndio kuna kila siri ya huyu mzee na sababu zilizo mpelekea kuasi.

Dr Slaa naomba utupe historia yako hapa, watu wengi wanakujua jina na cheo chako cha upadre, kama ulivyo nijibu kuwa wana Karatu walikuona unafaa kwa kuwa wanaijua historia yako, basi na sisi tusio kuona unafaa utupe angalau historia yako kidogo ili nasi tuweze kuifanya kazi ya kujitolea ya kuwa wenezi wako bila malipo, kwa mantiki hii hii, umesha sema utagombea tena urais.

Hapo chini kabisa "URAIS". Inaonesha ni jinsi gani mnavyomwogopa Mmang'ati huyu wa Karatu. Mbona Baba wa watu hana presha na uraisi, anachotaka yeye ni matakwa ya watz, mwaka 2015 mwanamke ataweka historia kugombea urais kupitia CHADEMA. Dr. Slaa fanya kaz zako wala usisumbuke na hawa wanaLumumba
 
Back
Top Bottom