Unaingia na ID nyingine kujipobgeza.?Hii JF imeingiliwa na low IQs.
You must be suffering from identity crisis
I only got one ID, I don't think if there is any reason for me having multiple IDs.
Why? do you think I'm the only one who is against Dr Slaa?, well then, I'm not the only one.
As for IQ, kama CHADEMA isinge kuwepo, ungekuwa unafanya nini wewe?
Kupiga makelele ya kuwahadaa watanzania ndio unaona una IQ kubwa? mbona hiyo kazi hata Lema anaifanya kwa uzoefu wake wa kuuza mitumba na yule mwingine mwana Hip Hop.
What are you nje ya siasa? kwanza siasa zenyewe ndio hizi mnazifanya ajira, wakati ndani ya CCM siasa ni kuhudumia.
Watu wote kwenye halmashauri kuu taifa na kamati kuu wana taaluma zao, hapo CHADEMA IQ ya mtu mnaipimaje? au mtu akisema rais muasisi wa udini basi tayari anakuwa na IQ kubwa?
Think big, njaa isikufanye mtumwa wa kulamba miguu ya Mbowe na Slaa.