Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Nov 9, 2016 #8,901 Madame B said: Lile jina la kutafutia pesa mjini Jina lake halisi analo. Afu bado kijana tu Click to expand... Aisee!! Na ni mganga kweli?
Madame B said: Lile jina la kutafutia pesa mjini Jina lake halisi analo. Afu bado kijana tu Click to expand... Aisee!! Na ni mganga kweli?
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Nov 9, 2016 #8,902 RRONDO said: Hebu niacheni. Nishasema walimu mmenishinda sasa hivi natafuta Daktari. Click to expand... Kwani Honey Faith nae mwalimu?
RRONDO said: Hebu niacheni. Nishasema walimu mmenishinda sasa hivi natafuta Daktari. Click to expand... Kwani Honey Faith nae mwalimu?
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,553 Reaction score 41,468 Nov 9, 2016 #8,903 atoto said: Aisee basi ngoja nikazane na MO11 Click to expand... kwa kweli tukazane tu tena kutwa mara tatu maana hakuna namna
atoto said: Aisee basi ngoja nikazane na MO11 Click to expand... kwa kweli tukazane tu tena kutwa mara tatu maana hakuna namna
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,879 Reaction score 129,906 Nov 9, 2016 #8,904 atoto said: Kwani Honey Faith nae mwalimu? Click to expand... Huyo alikuwa mchepuko sio main chick.
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Nov 9, 2016 #8,905 MO11 said: Kuna siku aliangusha mizigo yake nikamuokotea ndio akaanza kunipenda sijui alikuwahi kwa babu maana sisikii kwake Click to expand... We ndio scorpion wangu.
MO11 said: Kuna siku aliangusha mizigo yake nikamuokotea ndio akaanza kunipenda sijui alikuwahi kwa babu maana sisikii kwake Click to expand... We ndio scorpion wangu.
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Nov 9, 2016 #8,906 MO11 said: kwa kweli tukazane tu tena kutwa mara tatu maana hakuna namna Click to expand... Aibu naona mimi
MO11 said: kwa kweli tukazane tu tena kutwa mara tatu maana hakuna namna Click to expand... Aibu naona mimi
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Nov 9, 2016 #8,907 Madame B said: atoto sijui kalala sahivi. Au anaandaa andalio Click to expand... Hahahaaaa!! Nilikuwa naandaa andalio pendwa.
Madame B said: atoto sijui kalala sahivi. Au anaandaa andalio Click to expand... Hahahaaaa!! Nilikuwa naandaa andalio pendwa.
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Nov 9, 2016 #8,908 RRONDO said: Unafikiria nini tena CC? Click to expand... Kwa hiyo ndio unanioneshea ama?
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Nov 9, 2016 #8,909 MO11 said: ukimaliza kuniagua naomba na wewe uniroge ili nisisikie ya watu maana binadamu hawakulipenda penzi letu ila hapa namuwaza atoto tu Click to expand... We hauaguliki mpenzi, we wangu tu.
MO11 said: ukimaliza kuniagua naomba na wewe uniroge ili nisisikie ya watu maana binadamu hawakulipenda penzi letu ila hapa namuwaza atoto tu Click to expand... We hauaguliki mpenzi, we wangu tu.
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Nov 9, 2016 #8,910 Madame B said: Mapenzi ya pesa ni matamu sana aisee, sijui kwanini Click to expand... Yananoga acha kabisa!
Madame B said: Mapenzi ya pesa ni matamu sana aisee, sijui kwanini Click to expand... Yananoga acha kabisa!
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Nov 9, 2016 #8,911 MO11 said: dawa zako zizidi za atoto nihamie kwako kabisa Click to expand... Eti umesemaje?
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Nov 9, 2016 #8,912 atoto said: Kwani Honey Faith nae mwalimu? Click to expand... Kwa jinsi nilivyokuwa mvivu kusoma nilijitahidi nikaishia la nne D baada ya kufeli mara tatu ule mtihani wa taifa basi nikaamua tu kuacha shule
atoto said: Kwani Honey Faith nae mwalimu? Click to expand... Kwa jinsi nilivyokuwa mvivu kusoma nilijitahidi nikaishia la nne D baada ya kufeli mara tatu ule mtihani wa taifa basi nikaamua tu kuacha shule
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,553 Reaction score 41,468 Nov 9, 2016 #8,913 atoto said: We ndio scorpion wangu. Click to expand... hilo nalijua nataka nikutoe macho usiyaone ya wambea pia nikutoboe masikio usisie ya wanafki Honey Faith said: Aibu naona mimi Click to expand... Sikuwahi kujua kama unajua kusoma
atoto said: We ndio scorpion wangu. Click to expand... hilo nalijua nataka nikutoe macho usiyaone ya wambea pia nikutoboe masikio usisie ya wanafki Honey Faith said: Aibu naona mimi Click to expand... Sikuwahi kujua kama unajua kusoma
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Nov 9, 2016 #8,914 Madame B said: Hivi hujawahi ona watu usiku beach? Yaani sijui wanafanyaga nini usiku ule. Mwisho waliwa na nyangumi Click to expand... Kwenye liviktoria hawaendagi usiku, maana usiku kule kwao ndio muda wa manyau nyau, so hayo ni mashikoro mageni kwake.
Madame B said: Hivi hujawahi ona watu usiku beach? Yaani sijui wanafanyaga nini usiku ule. Mwisho waliwa na nyangumi Click to expand... Kwenye liviktoria hawaendagi usiku, maana usiku kule kwao ndio muda wa manyau nyau, so hayo ni mashikoro mageni kwake.
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Nov 9, 2016 #8,915 MO11 said: kwa kweli tukazane tu tena kutwa mara tatu maana hakuna namna Click to expand... Hahahaaaa!! Hapa kazi tu.
MO11 said: kwa kweli tukazane tu tena kutwa mara tatu maana hakuna namna Click to expand... Hahahaaaa!! Hapa kazi tu.
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Nov 9, 2016 #8,916 RRONDO said: Huyo alikuwa mchepuko sio main chick. Click to expand... Sasa mchepuko unakuchanganya namna ile, main chick si ndio tutakuzika!!
RRONDO said: Huyo alikuwa mchepuko sio main chick. Click to expand... Sasa mchepuko unakuchanganya namna ile, main chick si ndio tutakuzika!!
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Nov 9, 2016 #8,917 Honey Faith said: Kwa hiyo ndio unanioneshea ama? Click to expand... Wivu wa nini nawe!! Muache RRONDO apooze machungu.
Honey Faith said: Kwa hiyo ndio unanioneshea ama? Click to expand... Wivu wa nini nawe!! Muache RRONDO apooze machungu.
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Nov 9, 2016 #8,918 Honey Faith said: Kwa jinsi nilivyokuwa mvivu kusoma nilijitahidi nikaishia la nne D baada ya kufeli mara tatu ule mtihani wa taifa basi nikaamua tu kuacha shule Click to expand... Mvivu kusoma au ki.la.za!!
Honey Faith said: Kwa jinsi nilivyokuwa mvivu kusoma nilijitahidi nikaishia la nne D baada ya kufeli mara tatu ule mtihani wa taifa basi nikaamua tu kuacha shule Click to expand... Mvivu kusoma au ki.la.za!!
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,553 Reaction score 41,468 Nov 9, 2016 #8,919 atoto said: Eti umesemaje? Click to expand... imeandikwa samehe saba mara sabini kwa siku
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Nov 9, 2016 #8,920 RRONDO said: Huyo alikuwa mchepuko sio main chick. Click to expand... Eeeeh baba wangu nipe uvumilivu mie mtoto wa watu....
RRONDO said: Huyo alikuwa mchepuko sio main chick. Click to expand... Eeeeh baba wangu nipe uvumilivu mie mtoto wa watu....