Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,414
- 176,340
Nitoboe toboe mpenzi, maana kwako nishatia nanga.hilo nalijua nataka nikutoe macho usiyaone ya wambea pia nikutoboe masikio usisie ya wanafki
Sikuwahi kujua kama unajua kusoma
Nitoboe toboe mpenzi, maana kwako nishatia nanga.hilo nalijua nataka nikutoe macho usiyaone ya wambea pia nikutoboe masikio usisie ya wanafki
Sikuwahi kujua kama unajua kusoma
Naona unamwaga sumu tu.hilo nalijua nataka nikutoe macho usiyaone ya wambea pia nikutoboe masikio usisie ya wanafki
Sikuwahi kujua kama unajua kusoma
Haya bwana nimemuachaWivu wa nini nawe!! Muache RRONDO apooze machungu.
Sio kusoma sema akili ilikuwa haiko sawaMvivu kusoma au ******!!
Kumbe matatizo ya tangu utotoni haya!!Sio kusoma sema akili ilikuwa haiko sawa
We kazana ujiweke hapo, ila naona ashaanza kulishwa sumu ile usoipenda, kitu mbesaaaa.Afadhali umenisaidia maanake alikuwa ananizibia tu!
Sitakaa nikuzibie wewe endelea tu kwa amani teleAfadhali umenisaidia maanake alikuwa ananizibia tu!
Mbona unanitamanisha!!Hivi muda wote nipo humu Jf hamna hata kadada kalikonizimikia sweet Mangi hapa nahonga kama mtoto wa fisadi
Ni akili ya darasani ndio haipo ila ya maisha ninayoKumbe matatizo ya tangu utotoni haya!!
Aaah!! Kwako tena! Nishasamehe laazizi.imeandikwa samehe saba mara sabini kwa siku
utaua watu kwa wivu kweli kwa style hiiNinachokitaka nashukuru hata wewe unakijua, kazi kwako ni kinipa tu, yaani unipee hadi nikinai, ila sitaki kukinai.
Ndio ukaamua ukimbilie kwa manyau nyau!! No wonder!Ni akili ya darasani ndio haipo ila ya maisha ninayo
Rogie kesho napitia ofisini kwenu kuna deal moja nataka tuongeeNitoboe toboe mpenzi, maana kwako nishatia nanga.
We nitongoze mimi...Kwahiyo wataka tukuroge utupende wawili?
Mbona wataka kuwasha moto ambao huwezi kuuzima?
Ila jua mie sitataka zamu....kila siku kwangu
Sasa mtu sina uelewa na mambo mengine unategemea akili yangu itanituma kufanya nini kama si manyau nyauNdio ukaamua ukimbilie kwa manyau nyau!! No wonder!