Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Sijui na mimi nijaribu kupata wa kupiga nae sogo humu jf??? naona nina miaka 10 yakusoma humu na tisa tangu nijiunge, labda itakuwa game nzuri nikijaribu.

Nafikiria mmmmmmmh
Mchezo pesa.
Game muachie mwanao achezee nyumbani.
Hahahjaah
 
Umenikumbusha kitu.
Mwalimu mwenzangu alienda kwa mganga kutaka dawa ili aolewe.
Wiki iliyopita kaniletea kadi ya mchango, kuangalia...kumbe anaolewa na mtoto wa yule mganga aliyeenda kwake kuomba dawa.
Nikajisemea kimoyomoyo, 'ashachezewa shere'
Mie uganga wangu professional yani nimtakae kwa huo mda ndio nampata....lol
 
Sijui na mimi nijaribu kupata wa kupiga nae sogo humu jf??? naona nina miaka 10 yakusoma humu na tisa tangu nijiunge, labda itakuwa game nzuri nikijaribu.

Nafikiria mmmmmmmh
Siku zote nilikuwa natafuta gear ya kupiga soga wewe..
 
Back
Top Bottom