Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Usiponisema siku yako haiwi nzuri eeeh!
By the way niliaga kijijini kwetu ndio maana full kudondokewa......lol
Umenikumbusha kitu.
Mwalimu mwenzangu alienda kwa mganga kutaka dawa ili aolewe.
Wiki iliyopita kaniletea kadi ya mchango, kuangalia...kumbe anaolewa na mtoto wa yule mganga aliyeenda kwake kuomba dawa.
Nikajisemea kimoyomoyo, 'ashachezewa shere'
 
Hivi haya mambo kumbe kweli, yaani unajibeba kabisaaa mguu mosi mguu pili hadi kwa mganga kutaka mume!!
God forbid.
 
Nataka ndoa wapi sasa na nishaachika, hadi RRONDO akadai kanimwaga, yaani ye alinimwaga hata kabla ya kuwa kapo, mtoto mbaya huyu!!
Aiseee
Em tafuta kapo, maana Kairuki akimaliza vyeti vya ndoa...anakatiza majumbani kuhakiki kapo imara.
Sasa tafuta kapo mapema kabla ya kurudishwa kijijini kwenu
 
Hivi haya mambo kumbe kweli, yaani unajibeba kabisaaa mguu mosi mguu pili hadi kwa mganga kutaka mume!!
God forbid.
Wenzio wanaostuka kumekucha wanaenda.
Ila mie bhana wala siamini.
Mganga anakuleteaje mume?
Sayansi gani inatumika hapa katikati?
 
Sijui na mimi nijaribu kupata wa kupiga nae sogo humu jf??? naona nina miaka 10 yakusoma humu na tisa tangu nijiunge, labda itakuwa game nzuri nikijaribu.

Nafikiria mmmmmmmh
 
Back
Top Bottom