Kumbe unapenda mizigo....ndio maaaanaaaaKuna siku aliangusha mizigo yake nikamuokotea ndio akaanza kunipenda
sijui alikuwahi kwa babu maana sisikii kwake
Mchezo pesa.
Game muachie mwanao achezee nyumbani.
Hahahjaah
Kwa hiyo wewe ulikuwa mchepuko?Wivu wa nini wakati mimi nilikuwa mchepuko wako?!
Siku zote nilikuwa natafuta gear ya kupiga soga wewe..
Naona anaandaa andalioatoto sijui kalala sahivi.
Au anaandaa andalio
Kwahiyo wataka tukuroge utupende wawili?ukimaliza kuniagua naomba na wewe uniroge ili nisisikie ya watu maana binadamu hawakulipenda penzi letu
ila hapa namuwaza atoto tu
Mapenzi ya pesa ni matamu sana aisee, sijui kwaniniHa ha haaaa
Hilo tu ndilo unalotaka?dawa zako zizidi za atoto nihamie kwako kabisa
Ufukweni mda huu?au anafata maagizo ya manyau nyauAu kama sio andalio, mitihani ya muhula wa pili au yuko na MO11 wako ufukweni wanakula upepo
Hivi hujawahi ona watu usiku beach?Ufukweni mda huu?au anafata maagizo ya manyau nyau
Mapenzi ya pesa ni matamu sana aisee, sijui kwanini
Mweeh sijawahi ona labda siku moja nikatest kwenda usiku labda kuna raha yake.Vp RRONDO utanisindikiza?Hivi hujawahi ona watu usiku beach?
Yaani sijui wanafanyaga nini usiku ule.
Mwisho waliwa na nyangumi
Unafikiria nini tena CC?Oh Ok, ila bado nafikiria.
Ndio unisaidie nawe kushangaa!! Anamtoa wapi!!Wenzio wanaostuka kumekucha wanaenda.
Ila mie bhana wala siamini.
Mganga anakuleteaje mume?
Sayansi gani inatumika hapa katikati?