Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,488 Reaction score 176,550 Nov 8, 2016 #8,801 BAK said: Nilishakwambia mie niko Mfaranyaki, Songea. Simjui mwanachama yeyote anayekaa jirani yangu. Kwani kui anaishi karibu na Mfaranyaki!? Click to expand... Wote tunaishi hapa hapa mfaranyaki, sijui ndio unazeeka ukiwa mtoto!! Mbona balaa hili.
BAK said: Nilishakwambia mie niko Mfaranyaki, Songea. Simjui mwanachama yeyote anayekaa jirani yangu. Kwani kui anaishi karibu na Mfaranyaki!? Click to expand... Wote tunaishi hapa hapa mfaranyaki, sijui ndio unazeeka ukiwa mtoto!! Mbona balaa hili.
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,488 Reaction score 176,550 Nov 8, 2016 #8,802 Valentina said: Wapi nimebadili gia we mwanamke? Uache kusingizia wenzako hebu Click to expand... Wanaume unawaupdate hapo kila kukicha!
Valentina said: Wapi nimebadili gia we mwanamke? Uache kusingizia wenzako hebu Click to expand... Wanaume unawaupdate hapo kila kukicha!
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,488 Reaction score 176,550 Nov 8, 2016 #8,803 kui said: Haha, mie simo huu mpira namrushia BAK..🙂 Click to expand... Wacha we!! Ili autumbukize wavuni.
kui said: Haha, mie simo huu mpira namrushia BAK..🙂 Click to expand... Wacha we!! Ili autumbukize wavuni.
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Nov 8, 2016 #8,804 atoto said: Wanaume unawaupdate hapo kila kukicha! Click to expand... Jamani jamani! Unajua Mungu anakuona lakini? Yani umeamua kunigeuzia kibao kabisa
atoto said: Wanaume unawaupdate hapo kila kukicha! Click to expand... Jamani jamani! Unajua Mungu anakuona lakini? Yani umeamua kunigeuzia kibao kabisa
DellaPina JF-Expert Member Joined Jun 19, 2016 Posts 1,024 Reaction score 3,512 Nov 8, 2016 #8,805 blance86 said: Nadhani mimi na wewe ndo hatuna wapenzi humu....ndo ukuje mama tuanze safari Click to expand... Bora mchukuane maana wote mpo free
blance86 said: Nadhani mimi na wewe ndo hatuna wapenzi humu....ndo ukuje mama tuanze safari Click to expand... Bora mchukuane maana wote mpo free
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,488 Reaction score 176,550 Nov 8, 2016 #8,806 Valentina said: Jamani jamani! Unajua Mungu anakuona lakini? Yani umeamua kunigeuzia kibao kabisa Click to expand... Huyo ulomtaja hapo sasa ndio tunatishana au!! Kwani uongo? Mwanzo alikuwa nani hapo?
Valentina said: Jamani jamani! Unajua Mungu anakuona lakini? Yani umeamua kunigeuzia kibao kabisa Click to expand... Huyo ulomtaja hapo sasa ndio tunatishana au!! Kwani uongo? Mwanzo alikuwa nani hapo?
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Nov 8, 2016 #8,807 atoto said: Huyo ulomtaja hapo sasa ndio tunatishana au!! Kwani uongo? Mwanzo alikuwa nani hapo? Click to expand... Hebu nambie bae wako wa sasa ni yupi?
atoto said: Huyo ulomtaja hapo sasa ndio tunatishana au!! Kwani uongo? Mwanzo alikuwa nani hapo? Click to expand... Hebu nambie bae wako wa sasa ni yupi?
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,283 Nov 8, 2016 #8,808 Mie sijui kucheza mpira Kui usinirushie lol! Na kapo ndiyo kitu gani!? kui said: Haha, mie simo huu mpira namrushia BAK..🙂 Click to expand...
Mie sijui kucheza mpira Kui usinirushie lol! Na kapo ndiyo kitu gani!? kui said: Haha, mie simo huu mpira namrushia BAK..🙂 Click to expand...
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,488 Reaction score 176,550 Nov 8, 2016 #8,809 Valentina said: Hebu nambie bae wako wa sasa ni yupi? Click to expand... Mimi hapa.
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,283 Nov 8, 2016 #8,810 Lol! Weye kwa maneno tu! Kalale sasa inatosha kwa leo 🙂🙂 atoto said: Wacha we!! Ili autumbukize wavuni. Click to expand...
Lol! Weye kwa maneno tu! Kalale sasa inatosha kwa leo 🙂🙂 atoto said: Wacha we!! Ili autumbukize wavuni. Click to expand...
DellaPina JF-Expert Member Joined Jun 19, 2016 Posts 1,024 Reaction score 3,512 Nov 8, 2016 #8,811 BAK said: Mie sijui kucheza mpira Kui usinirushie lol! Na kapo ndiyo kitu gani!? Click to expand... Mkuu mimi nimepunguza mechi za kirafiki nimekuwa natumia long round ijumaa na jumamosi tu
BAK said: Mie sijui kucheza mpira Kui usinirushie lol! Na kapo ndiyo kitu gani!? Click to expand... Mkuu mimi nimepunguza mechi za kirafiki nimekuwa natumia long round ijumaa na jumamosi tu
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,488 Reaction score 176,550 Nov 8, 2016 #8,812 BAK said: Lol! Weye kwa maneno tu! Kalale sasa inatosha kwa leo 🙂🙂 Click to expand... Haya.
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Nov 8, 2016 #8,813 atoto said: Mimi hapa. Click to expand... Hebu kwanza... Yule mume wa Honey Faith umemtelekezea wapi sikuhizi?
atoto said: Mimi hapa. Click to expand... Hebu kwanza... Yule mume wa Honey Faith umemtelekezea wapi sikuhizi?
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,488 Reaction score 176,550 Nov 8, 2016 #8,814 Valentina said: Hebu kwanza... Yule mume wa Honey Faith umemtelekezea wapi sikuhizi? Click to expand... Yupi? Maana anao mia kidogo.
Valentina said: Hebu kwanza... Yule mume wa Honey Faith umemtelekezea wapi sikuhizi? Click to expand... Yupi? Maana anao mia kidogo.
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Nov 8, 2016 #8,815 atoto said: Yupi? Maana anao mia kidogo. Click to expand... Wifi yangu hayupo kama wewe lakini Yule Rogie yukwapi?
atoto said: Yupi? Maana anao mia kidogo. Click to expand... Wifi yangu hayupo kama wewe lakini Yule Rogie yukwapi?
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,488 Reaction score 176,550 Nov 8, 2016 #8,816 Valentina said: Wifi yangu hayupo kama wewe lakini Yule Rogie yukwapi? Click to expand... Muulize huyo huyo wifi yako, mara ya mwisho niliona wana miadi. Hawezi kuwa kama mimi kwakweli, mtoto wa watu nimetuliaaaa!!
Valentina said: Wifi yangu hayupo kama wewe lakini Yule Rogie yukwapi? Click to expand... Muulize huyo huyo wifi yako, mara ya mwisho niliona wana miadi. Hawezi kuwa kama mimi kwakweli, mtoto wa watu nimetuliaaaa!!
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Nov 8, 2016 #8,817 atoto said: Muulize huyo huyo wifi yako, mara ya mwisho niliona wana miadi. Hawezi kuwa kama mimi kwakweli, mtoto wa watu nimetuliaaaa!! Click to expand... Nyooo... Wakutulia utakua wewe Honey Faith wifi langu njoo
atoto said: Muulize huyo huyo wifi yako, mara ya mwisho niliona wana miadi. Hawezi kuwa kama mimi kwakweli, mtoto wa watu nimetuliaaaa!! Click to expand... Nyooo... Wakutulia utakua wewe Honey Faith wifi langu njoo
Fisherscom JF-Expert Member Joined Mar 13, 2008 Posts 1,884 Reaction score 952 Nov 9, 2016 #8,818 Eddy Love said: nimepata mwanamke wa mfano aisee i wil love her forever Click to expand... Hongera nyingi kwako mkuu
Eddy Love said: nimepata mwanamke wa mfano aisee i wil love her forever Click to expand... Hongera nyingi kwako mkuu
Fisherscom JF-Expert Member Joined Mar 13, 2008 Posts 1,884 Reaction score 952 Nov 9, 2016 #8,819 kiwatengu said: Mkuu za siku nyingi bana... Kuna ongezeko la watu lukuki.. Find one of ur type bana Click to expand... Ahsante sana mkuu...nashukuru kunitakia moyoo...ngoja niende front
kiwatengu said: Mkuu za siku nyingi bana... Kuna ongezeko la watu lukuki.. Find one of ur type bana Click to expand... Ahsante sana mkuu...nashukuru kunitakia moyoo...ngoja niende front
Fisherscom JF-Expert Member Joined Mar 13, 2008 Posts 1,884 Reaction score 952 Nov 9, 2016 #8,820 youngkato said: We utakuwa na kasoro isee Click to expand... Wewe tayari umepata nn kiongozzz???