Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Heaven Sent unatafuta laana, kui mama mie na MO11 ni majirani, kwani umemsahau anakaa pale karibu na BAK?

Mbona we na BAK sijaona kapo yenu hapo?
Valentina naona kabadili gia angani.

Haha, mie simo huu mpira namrushia BAK..πŸ™‚

Nilishakwambia mie niko Mfaranyaki, Songea. Simjui mwanachama yeyote anayekaa jirani yangu. Kwani kui anaishi karibu na Mfaranyaki!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…