x shem unajua kunipa raha.
Ila shem lol sio kwa kumwacha shoga angu hivyo.
Ina maana hutaki ata mchepuko? Ngoja nivae dela yaani leo ni kukata mauno kama vile nakufa kesho
hivi hajalala tu alida atagaragazana usiku huu mpaka basi na mmanga..:redfaces:
Kwani wewe hutaki kutongozwa? Ngoja nikutongozepo kidogo.
Whaaaaat.....????!!!!!!
Loading.......100% complete
Namtafuta mume wanguuu namtafuta mume wanguu....
Nipo hapa my dear,am missing you so much,mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Khee! Muone unapenda kudandia lory kwa mbele. Ngoja mwenyewe akukute
Naomba nikuone jinsi ulivyo m cute PM plzπ
Na Mimi nataka !!ππππ
Kuna mtu ame-hack acount yangu.....!?
kati ya uliowataja kuna nilie mtupia madini mwaka 2013 januari,nikiwa na miezi kadhaa nimekua member kutoka guest, akaniambia bado ypo chuo,maana mi ckutaka kuchezea nilitaka niweke ndani jumla jumla!
Kitendo cha kukaa kimya wk mbili tu, tayari hapa anatajwa kama mke wa mtu!!#wewe nanii umenifanya nini!