Yaani shem wee acha tu,ndo maana nilipokuja huku nilijitambulisha kuwa mimi ni mgeni na ni domo zege kwa hiyo nikaomba wadada wanionee huruma,yaani nikigusia tu mdada akubali haraka haraka ila cha kushangaza hata huruma yenyewe sioni shem wangu.Nikimgusia tu mtu badala ya kunionea huruma akubali harakaharaka ndo hivyo wanaingia mitini kama unavyoona dear,yaani hapa nilipo hali yangu ni mbaya kabisa!!!....naishia tu kuumia watu mnavyoonyeshana malove ya kufa mtu!!