Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Loooh!!....umenitoroka hadi nimeanza kumtaka shemeji my dear!!

Ona sasa mpaka karudi na mtu mwingine, ulikuwa wapi unazubaa mpaka anabebwa raiti inifronti ovu yua aizi!!!
 
Ona sasa mpaka karudi na mtu mwingine, ulikuwa wapi unazubaa mpaka anabebwa raiti inifronti ovu yua aizi!!!

Yule ni wangu,nampenda kutoka moyoni,wala hajamleta mwingine ila huyo mwingine anazinguliwa tu!!....
 
My wax where are you? Miss you honey.

Ooooh thanks my dear miss you too!!!! Naona kuna mtu anakusumbua hapo juu akome kabsaa aise
 
Last edited by a moderator:
Ooooh thanks my dear miss you too!!!! Naona kuna mtu anakusumbua hapo juu akome kabsaa aise

Afadhali umekuja laazizi, huyu nuksi sijui anatafuta nini hicho kisichokuwepo!! Warren.T plz stay away from me!!
 
Last edited by a moderator:
Afadhali umekuja laazizi, huyu nuksi sijui anatafuta nini hicho kisichokuwepo!! Warren.T plz stay away from me!!

Ashindwe na alegee!!! Nipe habar kipenzi changu
 
Last edited by a moderator:
Ashindwe na alegee!!! Nipe habar kipenzi changu

Habari ninazo teleee, nakusubiri kwanza urudi nyumbani, tukimaliza mambo ya massage na mwili kurelax nitakumwagia habari njema za kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…