sasa atoto hauwezi jua kama anakutosha kama u never get someone to compare with try me u won't regret to know me
I know, and i love you more than the word itself.
Ooooh, come baby lets go, fanya haraka si unajua tena!
Hivi kumbe bado watu wanatongozana eeeh!!
Hivi kumbe bado watu wanatongozana eeeh!!
cute b am looking for you nimetoka mlimani nimeonyeshwa mke wangu ni wewe
Duh!!.....afadhali umejileta huku wewe mwenyewe,kuna jinsia za kiume/watu walikuwa wanakutafuta kweli kweli!!
Mbona yupo na anajijua...Yule ambaye nafsi yako imemdondokea humu jf.
Mbona yupo na anajijua...
Hahahaaaaa lol...
Umenichekesha mkuuu...
Kwa hiyo ulifunga maombi ya mlimani Mungu ndo akakujibu?
kabisa nimepiga novena ya hatari nikaambiwa upo jf kuingia tu nakutana na dp yako nikatabasamu na muandiko nilionyeshwa ni huu huu wako
Hahahaaaaaa