Mbona nae alinieleza kutangaza ilikuwa geresha ili utulie na kuendelea kumriwaza wakati anatafuta wa kufunga nae ndoa. Anakudanganya huyo gutuka. Usiseme kwamba nimekwambia mimi.
Teh teh teh! wax wangu kamwe hawezi tamka hicho kitu, kila aniambiacho hutoka uvunguni mwa mtima wake, so try another tactic hiyo imefail.
eeeeeeh tena naona shabaa yangu imedaka maana wewe ndo ulikua chagu la kwanza maana inaonyesha una utamu flani hivi na lazima nichukue mzinga najua nyuki ni wengi ila sijali
sasa sijui tufanye hapa hapa au inbobo! !?
Mbona nae alinieleza kutangaza ilikuwa geresha ili utulie na kuendelea kumriwaza wakati anatafuta wa kufunga nae ndoa. Anakudanganya huyo gutuka. Usiseme kwamba nimekwambia mimi.
Japo basi huwa lina seat 65, bado huwa kuna nafasi za kusimama kwa atakaekosa seat. Please naomba nipatie japi nafasi ya kusimama katika mutima wako.
Mkuu acha uongo nipo on line plz hii ndoa haivunjiki ng'ooo
Mkuu acha uongo nipo on line plz hii ndoa haivunjiki ng'ooo
Baby haujalala tu? Haya twende tukalale mume wangu.
Wory not honey, acha ajisumbue, si unajua tena kwako sifurukuti.
Twende tukalale mume wangu, ni muda wa kunipa kitu roho inapenda, si unajua wewe ndio usingizi wangu?!!
Hilo unaloongelea ni basi ila mie sio basi, moyo wangu una nafasi ya mtu mmoja tu!!! Na kamwe hawezi ruhusiwa mwingine hata kuunyemelea japo kwa bahati mbaya.
Shemeji lini nilisema naruhusu michepuko? Lile lilikuwa biti tu ili mume wangu mtarajiwa wax atangaze ndoa, si uliona alivyopagawa? Mision accomplished now nafsi yangu burudaniiiii.
Twende zetu mpenzi wangu!!!! Hivi dear unajua ninavyo kupenda lkn yaan huwa napata furaha sana
Saf sana baby ndo maana nakupenda unamsimamo wa kweli watu kama ww wanaheshimika ktk jamii I LOVE YOU SO MUCH
Nimevurugwa hata siwezi kusoma ulichoandika shem kwani mtima wangu, my pretty preta ameingia tena mitini!!