yero wewe si unampenda Mungu eeh? Basi mpende na jirani yako, alafu msema kweli mpenzi wa Mungu kiukweli nimemuhamu Amanda Lynn ni bora kusema ukweli kuliko kukaa na kitu moyoni
eeeeeeh tena naona shabaa yangu imedaka maana wewe ndo ulikua chagu la kwanza maana inaonyesha una utamu flani hivi na lazima nichukue mzinga najua nyuki ni wengi ila sijali
eeeeeeh tena naona shabaa yangu imedaka maana wewe ndo ulikua chagu la kwanza maana inaonyesha una utamu flani hivi na lazima nichukue mzinga najua nyuki ni wengi ila sijali
Shemeji lini nilisema naruhusu michepuko? Lile lilikuwa biti tu ili mume wangu mtarajiwa wax atangaze ndoa, si uliona alivyopagawa? Mision accomplished now nafsi yangu burudaniiiii.
Mweeeh! Pole sana mkuu mie niko occupied kwa husband wa dunia wax, yaani pale ndio kigoma mwisho wa reli, sifurukuti tena, na mlinzi kiwatengu hayupo mbali, so kilalakheri ktk kusaka.
Shemeji lini nilisema naruhusu michepuko? Lile lilikuwa biti tu ili mume wangu mtarajiwa wax atangaze ndoa, si uliona alivyopagawa? Mision accomplished now nafsi yangu burudaniiiii.
Mbona nae alinieleza kutangaza ilikuwa geresha ili utulie na kuendelea kumriwaza wakati anatafuta wa kufunga nae ndoa. Anakudanganya huyo gutuka. Usiseme kwamba nimekwambia mimi.