Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,573 Jul 13, 2015 #7,401 cute b said: Hahahaaa sio wawili tuu mkuu...kila jukwaa hahahaaa Click to expand... Siyo kila jukwaa bali kila thread
cute b said: Hahahaaa sio wawili tuu mkuu...kila jukwaa hahahaaa Click to expand... Siyo kila jukwaa bali kila thread
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,573 Jul 13, 2015 #7,402 cute b said: Hii ni MMU eee... Huku sina na siingiagi kivile adi niitwe Click to expand... Hii ni chitchat ambayo tayari unaye Viol Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
cute b said: Hii ni MMU eee... Huku sina na siingiagi kivile adi niitwe Click to expand... Hii ni chitchat ambayo tayari unaye Viol
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,292 Jul 13, 2015 #7,403 atoto said: Siyo kila jukwaa bali kila thread Click to expand... Hahahaaa afu kwelii
K ksaid Member Joined Jul 3, 2015 Posts 19 Reaction score 1 Jul 13, 2015 #7,404 cute b said: Hahhaaaa Click to expand... Mm niliambiwa una wawili
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,292 Jul 13, 2015 #7,405 ksaid said: Mm niliambiwa una wawili Click to expand... Alikudanganya
K ksaid Member Joined Jul 3, 2015 Posts 19 Reaction score 1 Jul 13, 2015 #7,406 cute b said: Alikudanganya Click to expand... Mmm bad we mkali
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,292 Jul 13, 2015 #7,407 atoto said: Hii ni chitchat ambayo tayari unaye Viol Click to expand... Ahaaaa hahahaaa wewe ni mfuatiliajiiiii ume keep record zote Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
atoto said: Hii ni chitchat ambayo tayari unaye Viol Click to expand... Ahaaaa hahahaaa wewe ni mfuatiliajiiiii ume keep record zote
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,573 Jul 13, 2015 #7,408 cute b said: Ahaaaa hahahaaa wewe ni mfuatiliajiiiii ume keep record zote Click to expand... Si nakujua dogo msahaulifu so ni vyema niwe nakukumbusha
cute b said: Ahaaaa hahahaaa wewe ni mfuatiliajiiiii ume keep record zote Click to expand... Si nakujua dogo msahaulifu so ni vyema niwe nakukumbusha
Pascal Ndege JF-Expert Member Joined Nov 24, 2012 Posts 2,977 Reaction score 1,900 Jul 13, 2015 #7,409 Mdada wa kasikazi anicheki inbox
Amanda Lynn Member Joined May 18, 2015 Posts 77 Reaction score 54 Jul 13, 2015 #7,410 yero said: Mambo pouwa, hhaahaa kiwatengu hebu verify hii kitu watu tuchepuke mapemaaa..si unajua tena njia kuu foleni..njia kuu michosho.. Click to expand... We mwanaume unataka na mimi nianze kuchepuka, hujasikia michepuko sio dili Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
yero said: Mambo pouwa, hhaahaa kiwatengu hebu verify hii kitu watu tuchepuke mapemaaa..si unajua tena njia kuu foleni..njia kuu michosho.. Click to expand... We mwanaume unataka na mimi nianze kuchepuka, hujasikia michepuko sio dili
yero JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 471 Reaction score 425 Jul 13, 2015 #7,411 Amanda Lynn said: We mwanaume unataka na mimi nianze kuchepuka, hujasikia michepuko sio dili Click to expand... Mimi mgeni huku, wewe kama huwa unakuja huku utakuwa unachepuka, BTW sijakuona kwenye lile jukwaa mda mrefu..
Amanda Lynn said: We mwanaume unataka na mimi nianze kuchepuka, hujasikia michepuko sio dili Click to expand... Mimi mgeni huku, wewe kama huwa unakuja huku utakuwa unachepuka, BTW sijakuona kwenye lile jukwaa mda mrefu..
Amanda Lynn Member Joined May 18, 2015 Posts 77 Reaction score 54 Jul 13, 2015 #7,412 yero said: Mimi mgeni huku, wewe kama huwa unakuja huku utakuwa unachepuka, BTW sijakuona kwenye lile jukwaa mda mrefu.. Click to expand... Haaaa napitaga huku lile jukwaa ni la wabish hata vitu ambavyo vipo waz
yero said: Mimi mgeni huku, wewe kama huwa unakuja huku utakuwa unachepuka, BTW sijakuona kwenye lile jukwaa mda mrefu.. Click to expand... Haaaa napitaga huku lile jukwaa ni la wabish hata vitu ambavyo vipo waz
yero JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 471 Reaction score 425 Jul 13, 2015 #7,413 Amanda Lynn said: Haaaa napitaga huku lile jukwaa ni la wabish hata vitu ambavyo vipo waz Click to expand... ..Tushazoea kubishana..huku kuna couple tayari na watongozaji, tuliunge basi na wewe kama vipi
Amanda Lynn said: Haaaa napitaga huku lile jukwaa ni la wabish hata vitu ambavyo vipo waz Click to expand... ..Tushazoea kubishana..huku kuna couple tayari na watongozaji, tuliunge basi na wewe kama vipi
Amanda Lynn Member Joined May 18, 2015 Posts 77 Reaction score 54 Jul 13, 2015 #7,414 yero said: ..Tushazoea kubishana..huku kuna couple tayari na watongozaji, tuliunge basi na wewe kama vipi Click to expand... unavyopenda michepuko ucje ukanipa presha bure
yero said: ..Tushazoea kubishana..huku kuna couple tayari na watongozaji, tuliunge basi na wewe kama vipi Click to expand... unavyopenda michepuko ucje ukanipa presha bure
yero JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 471 Reaction score 425 Jul 13, 2015 #7,415 Amanda Lynn said: unavyopenda michepuko ucje ukanipa presha bure Click to expand... presha wapi wewe. kiwatengu njoo ufanye maprocess..mtotoz kakubali Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Amanda Lynn said: unavyopenda michepuko ucje ukanipa presha bure Click to expand... presha wapi wewe. kiwatengu njoo ufanye maprocess..mtotoz kakubali
Amanda Lynn Member Joined May 18, 2015 Posts 77 Reaction score 54 Jul 13, 2015 #7,416 yero said: presha wapi wewe. kiwatengu njoo ufanye maprocess..mtotoz kakubali Click to expand... ila bado upo kwenye probation Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
yero said: presha wapi wewe. kiwatengu njoo ufanye maprocess..mtotoz kakubali Click to expand... ila bado upo kwenye probation
yero JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 471 Reaction score 425 Jul 13, 2015 #7,417 Amanda Lynn said: ila bado upo kwenye probation Click to expand... pouwa..na wewe nisisikie unachepuka huku
Amanda Lynn said: ila bado upo kwenye probation Click to expand... pouwa..na wewe nisisikie unachepuka huku
Amanda Lynn Member Joined May 18, 2015 Posts 77 Reaction score 54 Jul 13, 2015 #7,418 yero said: pouwa..na wewe nisisikie unachepuka huku Click to expand... nitachepukaje wakati ndo kwanza tunaanza, mpaka uniudhi
yero said: pouwa..na wewe nisisikie unachepuka huku Click to expand... nitachepukaje wakati ndo kwanza tunaanza, mpaka uniudhi
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,875 Jul 13, 2015 #7,419 Warren.T said: Kuna mtu nimemwita huku tangia jana,mbona haji jamani!....mimi hali yangu inazidi kuwa mbaya,close to me please! Preta Click to expand... Ni nini kinaendelea hapa.......?.......sijui ujue........
Warren.T said: Kuna mtu nimemwita huku tangia jana,mbona haji jamani!....mimi hali yangu inazidi kuwa mbaya,close to me please! Preta Click to expand... Ni nini kinaendelea hapa.......?.......sijui ujue........
yero JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 471 Reaction score 425 Jul 13, 2015 #7,420 Amanda Lynn said: nitachepukaje wakati ndo kwanza tunaanza, mpaka uniudhi Click to expand... nikikuudhi tunazungumza tunayamaliza sio unaenda kuchepuka..umesikia mtoto mzuri..
Amanda Lynn said: nitachepukaje wakati ndo kwanza tunaanza, mpaka uniudhi Click to expand... nikikuudhi tunazungumza tunayamaliza sio unaenda kuchepuka..umesikia mtoto mzuri..