Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Sasa naona kiwatengu anavuka mipaka

hapana bossi, hiyo inaitwa technique m'bonyeo!!
ni,nzuri sana kupima level aliyonayo mteja wangu ninayemlinda katika kuchepuka.
 
Last edited by a moderator:
Niliposema nijilinde hukuridhika, ukaamua kumuweka mwanaume mwenzio anilinde, haya sasa uvumilie yote.

Baby ebu niambie jina la mke wa kiwatengu halaf ni kukabidhi kwake akulinde coz huyu kiwatengu ananipasua kichwa sasa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom