Umejuaje baby mmoja tuu anatosha
Ooooh okey, ngoja kwanza nijipange tutatangaza tarehe, mambo mazuri hayataki haraka
Nimegundua kitu humu!
Basi utaniruhusu ni fanye engagement au coz hawa jamaa wanakuja kas kwel nshaanza kuwa na hofu
bado sijaanza kazi..nikianza utaniona tu hapo karibu yako.
Nimegundua huku hamna love ya kweli🙁
Engagement ya nini baby, muda muafaka ukifika basi ni kutambulishana then mambo mengine(ya ndoa) yatafuata.
Okey honey but take care plz