kiseme mkubwa..
hahaaaaaaaa nini
Nimegundua huku hamna love ya kweli🙁
Sasa ulitegemea hii ikawa halisi kweli? Hii ni ya kijf jf tu.
shusha vocal mangi...
shusha vocal mangi...
wait...sijaanza kazi!! nini ambacho huelewi?
teh teh teh... kaka ni mtongozo umekwama au?
soma list hapo juu, wote hao wameoana..
na walitokeana hapa hapa..jaribu bahati yako bana.
Mimi domo zege🙈
Mimi nina tatizo la pendapenda.
Mkuu true love ipo kwangu na atoto alaf kuanzia leo huyo ni shemeji yako muheshim ndoa itatangazwa muda ukifika ucwe na hofu ntakujulisha