Yani wenzako wahangaike kutafuta mche, kuupanda, kuumwagilia etc hadi Leo umezaa matunda... Wewe from nowhere uanze kupopoa tu matunda...... Aisee utapigwa tu
kuna mtu nimempa sifa zako hapo juu sijui atakuwa kaelewa vile!!
afu nilisahau kumwambia kuwa wewe ni delicate sana!! huwezi kuvunja hata biskuti!!
lainiiiiii....