Shyrose banji kimempata nini manake nina kumbukumbu kama kafanya kampeni ya nguvu au hayupo kwenye system?
What abt Lawrance Masha? William Slaa?
Masha hakugombea,alikuwa mpiga debe wa EL,ile pesa waliyopewa na Buzwagi imesaidia sana kumuweka ndanda juu,kimahesabu nadahani El alipata dola m.5..
Camilius Membe,anakuja juu sana..safari ya Urais wa 2015 nadhani itaangukia kwa Upinzani kuchukua urais tu!
Shyrose banji kimempata nini manake nina kumbukumbu kama kafanya kampeni ya nguvu au hayupo kwenye system?
Masha hakugombea,alikuwa mpiga debe wa EL,ile pesa waliyopewa na Buzwagi imesaidia sana kumuweka ndanda juu,kimahesabu nadahani El alipata dola m.5..
Camilius Membe,anakuja juu sana..safari ya Urais wa 2015 nadhani itaangukia kwa Upinzani kuchukua urais tu!
I think there's something wrong with Bhanji, sio bure. Yaani yeye anabwagwa kila uchaguzi. She ought to think twice before contesting!
Hata sielewi elewi....nadhani kuna mengi tusiyofahamu mkuu
Hivi nayule aliyesema kuwa 'hajatembea mikoani' so wajumbwe wamwonee huruma naye kapta? Manake JK alimwambnia kutembea mikoani sio hoja...http://www.ippmedia.com/ipp/nipashe/2007/11/05/101845.html
hivi pof.mwandosya akugombea?
Prof Mwandosya aligombea na kushinda kupitia ticket ya mkoa wa Mbeya ...ninavyokumbuka...
Hivi, wenyeviti wa jumuiya huingia kwa ajili ya uwenyekiti wao bila kugombea kura?
Jibu ni Ndiyo kwa M/kiti wa UWT. Wa hizo jumuiya nyingine sina uhakika.