CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
Mkuu hahaha....leo inabidi urudishe ule mtandio kwa amu...
Hivi daddy huwezi kummiss ur douta???
Last edited by a moderator:
Mkuu hahaha....leo inabidi urudishe ule mtandio kwa amu...
P upo wap? Mbona sijakuona?
Kama mlivokalia libolo...
Nisubiri Nicas Naja!
Shukuruni refa kawabeba kama kawa.
najua Mungu akipenda tutaonana one day.
Hivi daddy huwezi kummiss ur douta???
Hivi daddy huwezi kummiss ur douta???
Hatoki mtu....umechelewa vyote, siaachii ng'oo.
Kwakuwa yeye ndio alifunga goli?
hahaha. Rafiki yako Agush umemwona?
Afu wewe... We ngoja!
Kila la heri Dar Wing
Nipo njiani naomba usogee pembeni tafadhali.....!!!
wamekalia nini? Rage naye alikalia?