Kwa leo itakuwa ngumu sana mkuu...
Yupo hapo stendi ya Bajaj...kakutana na wazee wa M'nyamala.
Timu kubwa ile bana..kina Remmy wanune tu.
Hatoki mtu....umechelewa vyote, siaachii ng'oo.
Like...
Nikikujua lazima unywe glass nzima ya contessa gin...
Niko hapa mkuu....lakn mm sina mwaliko....niko hapa kama anonym....
Like...