Live from LEO TUPO HAPA PUB

Live from LEO TUPO HAPA PUB

Nimeshakujua wewe si shoga mwema.
Naepukana na wewe sasa hv.
Hv kweli kile kiungo ndio kituachanishe ushoga wetu?
Ben Saanane, Come baby ulale juu ya kifua changu.
Ujipoze Kamanda wangu.
Nishakwambia Evelyn Salt ni Mamluki.

Ha ha haaa,

My love for you will never die

Wewe ndiye pekee unanifaa maishani mwangu

Napenda unavyonifariji ninaporudi kutoka kwenye harakati

Nakupenda Madame B
Evelyn Salt anataka kutuharibia penzi letu,sitegeki.

Wewe ni kisiwa cha huba.penzi langu kwako halipimiki.Mmmwaaaaahh!
huba.jpg
 
Last edited by a moderator:
Piga makoofi eeee piga makofii eeh eehhh
sote tujumuike,watoto karibu,wadada karibu,vijana karibu,
piga makofi eeee
piga makofi eeehhhh
 
Ha ha haaa,

My love for you will never die

Wewe ndiye pekee unanifaa maishani mwangu

Napenda unavyonifariji ninaporudi kutoka kwenye harakati

Nakupenda Madame B
Evelyn Salt anataka kutuharibia penzi letu,sitegeki.

Wewe ni kisiwa cha huba.penzi langu kwako halipimiki.Mmmwaaaaahh!
View attachment 84815

Afu wewe naona unanichanganyia mafaili tu hapa kama sio kunikanyagia waya.....
naomba utoe tamko hapa!!!!!!!!!!!!!!
 
Afu wewe naona unanichanganyia mafaili tu hapa kama sio kunikanyagia waya.....
naomba utoe tamko hapa!!!!!!!!!!!!!!

Sasa si ninamzuga ,unajua leo ninaweza nisirudi home kabisa.Unadahani nisipomuonyesha hayo si atashtukia

We tulia shem wangu Evelyn Salt.Leo nikija ikiwezekana tusirudi kabisa na unajua weekend inakaribia.Nitajifanya nimetekwa.....!
 
Last edited by a moderator:
Acha kuumia aisee mwanaume kitu gani aisee
Kula kona rudi home ule raha za familia!

Aaah bro...wanaume tunateteana bana!!!

Bwana mii nna vichomi nikicheka sana mbavu zianuma!! Ila kwa ufafanuzi tu msichana anayeonekana kwenye picha ya post hii ndo nilipishana naye maeneo hayo na sikujua kama anakuja hapo mpaka nilivomuona kwenye picha jana, kwa mantik hiyo sikuondoka na mhudumu yeyote.

Sasa hicho ni kiteteo gani!??

Lets arrange hata siku ingine......

Kweli we zombie....ashakuambia ana ratiba nyingine...hiyo siku nyingine atakuwa na nyingine...stuka!

Shikamooni

YANGA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE (cc: Remmy)

Mpange nini tena? aaaah!

Yani we mkuu una uhakika wa kutokuwa mentioned milele...ndo jina gani hilo!!!

Aisee kumbe kulikuwa na kitu hii?
Aisee nimekosa mengiii!
Daaah naomba nipate mahadhimio kutoka na title hapo juu! Aisee nili wa miss sana!

Cc Mtambuzi, Madame B, Remmy Zion Daughter , Paloma , watu8, Vin Diesel Mentor FirstLady1, manoah.

Maazimio ni kwenye mkutano ujao kila mtu anje na LOCAL BREW ya kutoka kwao!!!

Cc Mtambuzi, Madame B, Remmy Zion Daughter , Paloma , watu8, Vin Diesel Mentor FirstLady1, manoah, Kipaji Halisi, Teamo, Asprin, FirstLady et al...
 
Last edited by a moderator:
Kwa kifuuuupi kabisa kabla sijaifunga hii sredi, kuna kiumbe chochote cha kiume au cha kike kati yenu anaweza kuniambia hapa mnadiskasheni makitu gani hasa?

Mkishanijibu mniambie:
Remmy, na wewe unanipenda kama navyokupenda?
amu, unweza niambia maana mbili za neno 'kopo'?
Mentor, eti leo jumangapi?
Vin Diesel, kikombe alichonipa baba sitakinywa?
Kipaji Halisi, CCM Safffey au hoooi?
watu8, imekuwaje arifu ukanitelekeza na haya majukumu mazito?
Madame B, unaifahamu gesti mpya bunju inaitwa Hijase?
FirstLady, Tuna nini mimi na wewe
KakaKiiza, kizuri kula na nduguyo. Kama perfume bei ghali tumia petroli, umenierrrrewwwa?
Paloma, hivi unajua kijambacho ni tumbo, kitoacho mlio ni spika?
Mtambuzi, wel wel well........ sina swali kwako
Evelyn Salt, lile jukwaa lako na Madame B umelambwa ban?

Baada ya kusema hayo..... CCM Saffffeeeeeeeeeeeeeeeey???
Bia kupanda bei heshima saffffeeey!
Ushauri: Kunywa biya kwa wingi Remmy na Zion Daughter wapate mishahara.

Biyaaaa Safffffeeeeeey!!
 
Mimi na Madame B hatuna jukwaa ukweli nakumbia...........!!!!!!!!!!!
 
Hapo Kwa Blue: Mie tena au unauliza Vumbi Stoo.
Nimeamkia jana hukohuko.

Hapo kwa Red: Tumetumwa na kijiji,hvo ni jukumu letu kuikamilisha kazi.
 
Heheheheh huyo amechoka mpaka baaasi. Chezeya K za mabaamedi wewe? Afu si alikwa shem kwa rafiki yako ticha mtoto wa mjeda?

Mjeda yupi?
Wa pale kona,njia ya maweni pale kwenye Bar?
Au mjeda yule aliyejichokea na maisha anaevaa tinted usiku?
 
Mjeda yupi?
Wa pale kona,njia ya maweni pale kwenye Bar?
Au mjeda yule aliyejichokea na maisha anaevaa tinted usiku?
Mjeda kanali mstaafu bana. Baba yake rafiki yako ticha kipotabo kama wewe.
 
Kwa kifuuuupi kabisa kabla sijaifunga hii sredi, kuna kiumbe chochote cha kiume au cha kike kati yenu anaweza kuniambia hapa mnadiskasheni makitu gani hasa?

Mkishanijibu mniambie:
Remmy, na wewe unanipenda kama navyokupenda?
amu, unweza niambia maana mbili za neno 'kopo'?
Mentor, eti leo jumangapi?
Vin Diesel, kikombe alichonipa baba sitakinywa?
Kipaji Halisi, CCM Safffey au hoooi?
watu8, imekuwaje arifu ukanitelekeza na haya majukumu mazito?
Madame B, unaifahamu gesti mpya bunju inaitwa Hijase?
FirstLady, Tuna nini mimi na wewe
KakaKiiza, kizuri kula na nduguyo. Kama perfume bei ghali tumia petroli, umenierrrrewwwa?
Paloma, hivi unajua kijambacho ni tumbo, kitoacho mlio ni spika?
Mtambuzi, wel wel well........ sina swali kwako
Evelyn Salt, lile jukwaa lako na Madame B umelambwa ban?

Baada ya kusema hayo..... CCM Saffffeeeeeeeeeeeeeeeey???
Bia kupanda bei heshima saffffeeey!
Ushauri: Kunywa biya kwa wingi Remmy na Zion Daughter wapate mishahara.

Biyaaaa Safffffeeeeeey!!

Wee mzee uniwache nipumue.mwanaizaya!!!
 
Mjeda kanali mstaafu bana. Baba yake rafiki yako ticha kipotabo kama wewe.

Kha!
Asa aliekwambia kama yule mtoto alikuwa ticha nani?
Alikuwa anauza K ka rafiki yake yule mwenye miguu yote ya kushoto.
Mdingi huyo Kanali si ndio alikuwa anam-bandua mamake shoga angu.
Chezea Mbunye ya Mmwera wewe!
Mpaka Banda kajengewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom