Live from LEO TUPO HAPA PUB

Live from LEO TUPO HAPA PUB

Tafadhali tena samahani sana usitake kunigombanisha na shoga angu!!!!!!!!!
huyu ni shemeji angu tu.........

Nimeshakujua wewe si shoga mwema.
Naepukana na wewe sasa hv.
Hv kweli kile kiungo ndio kituachanishe ushoga wetu?
Ben Saanane, Come baby ulale juu ya kifua changu.
Ujipoze Kamanda wangu.
Nishakwambia Evelyn Salt ni Mamluki.
 
Last edited by a moderator:
Umetoroka kwenu umekuja home,unataka tuspend tafadhali uende pia uache tabia zako za kutaka kunichumu,
najua wazo lako ni kuwa na mimi mpaka kufaaa,,nenda shule kwanzaaaa,
usione nadharau mi ntakusubiri,nangoja ukue tutakuja kuoana.
Baby candy

Unataka kuninyima nini!!!!!!!
 
Umetoroka kwenu umekuja home,unataka tuspend tafadhali uende pia uache tabia zako za kutaka kunichumu,
najua wazo lako ni kuwa na mimi mpaka kufaaa,,nenda shule kwanzaaaa,
usione nadharau mi ntakusubiri,nangoja ukue tutakuja kuoana.
Baby candy

Shemeji si uniambie tu direct ya nini mafumbo...........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom