SHARPVILLE
Member
- Feb 19, 2013
- 36
- 12
Kamefanyaje tena.....
Nakawaza sana Mkuu
Kamefanyaje tena.....
Dah!we binti nimekumiss jana nimekuota tupo.....
eeeeee? umeniota tupo wapi?
How did your day go.....
eeeeee? umeniota tupo wapi?
Mahali Pazuuuri,dah natamani tuwe hapo siku moja...
:shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:...................
Aisee kumbe kulikuwa na kitu hii?
Aisee nimekosa mengiii!
Daaah naomba nipate mahadhimio kutoka na title hapo juu! Aisee nili wa miss sana!
Cc Mtambuzi, Madame B, Remmy Zion Daughter , Paloma , watu8, Vin Diesel Mentor FirstLady1, manoah.
Karibu sana mkuu....hapa tulikuwa salama kabisa
Mkeo tulikutunzia vizuri sana
Sasa huyu mke wa Ruttashobolwa ni nani....
Yupoje yupoje
Ha haaa Nahisi labda zile mambo tulikuwa tunatumia labda ningetembea haraka haraka ningeanguka,may be!
Usiruke swali.
Ina maana hujaiona hyo Copy?
Mara ya mwisho kukuona unainuka kwenye kiti, PERIOD!
was fine, but know is ending bad. the umeme is haupo, my lapotop no chaji...and no tamthilia....naichukia hii serikali ya nyinyiem.
eeeeee? umeniota tupo wapi?