Live from LEO TUPO HAPA PUB

Live from LEO TUPO HAPA PUB

wewe lazima nipande ndege nzima ya fastjet ili niwe angani kukutafuta wewe hujui kuwa familia yangu inateketea kwa kumchukua mume wangu na kumpelekea pub sijui ni ya Mtambuzi hiyo pub nakuja sasa hivi hapo ama chako ama chanagu panachimbika sasa hivi ngoja nitoke hapa job weweeeeeeee
Ni samehe basi sweatheart ohoooo sorry dear!!:tape2:
 
Nishakupa habari zake lakini unajifanya huelewi somo shauri ako!!!!!!!!!!
Evelyn Salt mhh nimeamini,naanza kuchukua tahadhari shem wangu,Tukutane jioni tukitoka kazini tuangalie kama tunaweza kuendelea kuitana shemeji au tupange yetu!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom