Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,390
My dada huyo ana wanawake kama timu ya mpira... Au unataka niwe refa wao???
My number one girl....i miss u big time
My dada huyo ana wanawake kama timu ya mpira... Au unataka niwe refa wao???
Acha kuumia aisee mwanaume kitu gani aisee
Kula kona rudi home ule raha za familia!
Ha ha ha Shem wangu wa Ukweli Paloma nimezipata salamu.Kumbe jana alivyokua an-behave ni madhara ya Contessa.Aliniongopea ni JD
Ulifanya vizuri maana pange haribika ila mwambie hii JF nifamilia moja!!
Hizo raha za chumbani kwani ni lazma zitoke nje ya familia?lakini kaka mm nampenda na kumzimikia kabisa kwanini ananifanyia hivi? wakati yeye anajua ananipa raha zote za chumbani jamani kaka? lakini nikishindwa ntarudi home kula ndizi na bata wangu niliwafuga siwapo au mmeshauza?
kwani ulikuwa hujui au umedata?
Eti dogo, Posta iko Kariakoo au Feri?
CC: Mtambuzi, KakaKiiza, amu, Paloma, Remmy (I love you ila usimwambie mtu) Kipaji Halisi, Vin Diesel, Teamo, The Finest, Mtambuzi, Conntessa, CCM Safeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeey!!!
Leo Tupo Hapa Pub LTD
Shem wangu ladyfurahia,unajua huyu mtoto ananza kunipa wasi wasi.mhhh,anateleza balaaa...gharika!Kweli Evelyn Salt alinitahadharisha nikadhani ni mipango ya Chimbuvu na Nicas Mtei
Sijui kwanini charminglady bado kakaza msimamo....mapenzi yote yale na bado ameondoka....
Karibu Remmy tule mema ya nchi
Mwache aende apunguze msululu.
Ayaaa kumbe ni wewe.
Yule mhudumu alituambia ulikuja. Halafu ulipofika tu ukaanza kumtongoza mwenzao yule ukaondoka naye kabisa hata kikao hakijaanza.
Ndiyo maana tukaishia kuhudumiwa na wadada wawili tu!
CC: Mtambuzi
Na kweli,kuvuja kwa pakacha.....bora foleni ipungue
ha ha haaa
sie tunaingia kwa miguu yote na kijitahidi kutunza.
Shem wangu ladyfurahia,unajua huyu mtoto ananza kunipa wasi wasi.mhhh,anateleza balaaa...gharika!Kweli Evelyn Salt alinitahadharisha nikadhani ni mipango ya Chimbuvu na Nicas Mtei
Lets meet for dinner tonight.....nikufute hayo machozi....
hahahaa contessa at work! Mjeda hakuikausha? Hahahaha miss you big big Madame B. Msalimie mtarajiwa wako Ben Saanane! Umejiandaaje kuwa mama mheshmiwa?
Unasalimiwa na wifi yako