Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,494
- 113,590
Wanabodi,
Bado niko jijini Arusha, kuwaletea live ya day 2 ya , mkutano wa kimataifa wa ITAC
ITAC is a brainchild of WAJIBU designed for people to meet and discuss trends on transparency and accountability, sharing best practices, successes and challenges in order to promote an interdisciplinary learning in hastening the transformation process by promoting the culture of transparency and accountability in our societies.
The conference theme is “Transformation to a culture of total transparency and accountability”.
The conference is held from 18th – 19th November, 2021 at the Gran Melia Hotel in Arusha, Tanzania.
Kwa wale ambao jana hawakuona huu mkutano, hivi ni baadhi ya vionjo
Leo ndio siku ya pili na ya mwisho ya mkutano huu. Mzungumzaji wa kwanza ni Profesa PLO Lumbumba kutoka nchini Kenya, akizungumzia mada ya jinsi Bara la Afrika, linavyo deal na Covid
Prof. Lumumba anashusha nondo za kufa mtu, kuhusu nchi za Africa, zinavyowategemea former colonial masters kupambana na Covid kwa kutumia the colonial masters solution, to solve African problems.
Kiukweli jamaa anaponda mwanzo mwisho, jinsi Bara la Africa, linavyokuwa dictated cha kufanya na WHO, who are seated in Geneva!. Huu ni muendelezo wa ukoloni mamboleo.
Prof. PLO Lumumba, ameunga mkono hatua za JPM kudeal na Covid, za kuzuia fear and not denialism!
Karibuni tuendelee
Pascali.