Lissu ni kiboko kubali au kataa

Lissu ni kiboko kubali au kataa

Ameshitakiwa katika mashitaka ya uhaini, ambayo ni makubwa, lakini anajitetea mwenyewe na kutoa hoja nzito za kisheria, kiasi kwamba jaji na mawakili wa serikali wanashangaa na kumkubali.

Hajatetemeka, wala hana presha, licha ya kuwekwa katika selo la watu wanaosubiri kunyongwa — jambo ambalo kwa kawaida mtu yeyote angepata msongo wa mawazo, kushindwa kusimama mahakamani, au hata kuanguka kwa presha. Hata hivyo, Lissu anaonekana akili zake zinaimarika, na maarifa yake yanaongezeka zaidi.

Anajitetea mwenyewe bila woga, bila panic, wala kulia — jambo ambalo ni vigumu kwa mwanasiasa au mtu mwingine yeyote kuwa na ujasiri huo.

Kama mimi ningeshitakiwa kwa makosa hayo, ningeweza kujinyonyesha, kutetemeka, na pengine hivi sasa ningekuwa marehemu — Allah aiepushe. Naamini hata wanasiasa wengine, kama wangepata mtihani kama ule, wangepata matatizo makubwa; zamani mashati yote aliyokuwa nayo yalikuwa makubwa, nywele zake zilishanongeka, na alikuwa na presha na kisukari.

Mtu ambaye asiyekubali ujasiri wa Tundu Lissu, huyo akapimwe, ajitafakari, na ajipime anaishi katika sayari gani?
Ujasiri wake unafanana na wale vijana waliomjibu mfalme Nebukadresa kwamba hawezi kuabudu sanamu yake badala ya Mungu kama unataka kutuua tuue.Lisu Naye alimjibu Hakimu yeye si mtu wa kuomba hisani na hataomba kwa kosa ambalo hajafanya.Sasa utasemaje mtu kama huyo?
 
inaniuma sana maana mropokaji kiboko anasema amechoka kukaa korokoroni 🐒
Anachotetea ni haki yake maana haki hatendewi kama hilo hulioni basi ubasha kama huyu aliyevaa uccm.
downloadfile-10.jpg
 
halafu kingine aache kuomba sympathy ya mahakama ili kesi yake ifutwe ajaribu kuswitch

hio ni weakness ambayo wakili wa jamuhuri jana nimeona akiitumia kumpiga nayo hivyo aitazame upya.
Hilo ameliongea mbona
 
Chadema bhana 😂
Sasa kama angekuwa kiboko angekaa ndani 😂
Ukiboko wa mtu hauji kwa sababu kila kitu kiko sawa. Bali hupimwa pale magumu yanapomfikia mtu na jinsi anavyokabiliana nayo.

Mfano ccm wako na kila hali nzuri vs chadema wanapambana na kila adui. Unadhani nani yuko imara?
Let say Hamphrey Polepole hana ubalozi, hana cheo serikalini, akiweza kusurvive Tanzania na umaarufu ule ule hapo ndio Tunasema Hamphrey Kiboko.
 
Ameshitakiwa katika mashitaka ya uhaini, ambayo ni makubwa, lakini anajitetea mwenyewe na kutoa hoja nzito za kisheria, kiasi kwamba jaji na mawakili wa serikali wanashangaa na kumkubali.

Hajatetemeka, wala hana presha, licha ya kuwekwa katika selo la watu wanaosubiri kunyongwa — jambo ambalo kwa kawaida mtu yeyote angepata msongo wa mawazo, kushindwa kusimama mahakamani, au hata kuanguka kwa presha. Hata hivyo, Lissu anaonekana akili zake zinaimarika, na maarifa yake yanaongezeka zaidi.

Anajitetea mwenyewe bila woga, bila panic, wala kulia — jambo ambalo ni vigumu kwa mwanasiasa au mtu mwingine yeyote kuwa na ujasiri huo.

Kama mimi ningeshitakiwa kwa makosa hayo, ningeweza kujinyonyesha, kutetemeka, na pengine hivi sasa ningekuwa marehemu — Allah aiepushe. Naamini hata wanasiasa wengine, kama wangepata mtihani kama ule, wangepata matatizo makubwa; zamani mashati yote aliyokuwa nayo yalikuwa makubwa, nywele zake zilishanongeka, na alikuwa na presha na kisukari.

Mtu ambaye asiyekubali ujasiri wa Tundu Lissu, huyo akapimwe, ajitafakari, na ajipime anaishi katika sayari gani?
Mkuu usiangalie upayukaji na mihemko. Amepwaya sana kisheria. Wakili wa serikali anamburuza anavyotaka.
 
How can you even fight a dead man and win the battle?

Tindu Lisu is no more exisiting physically, he is just here spiritually and it is obvious no living human can defeat a mere spiritual being.

CCM wataangaika sana na Lisu lakin hakuna jipya watakalo achieve zaidi ya kupoteza tu rasilimali, maana wana deal na mtu asiyeogopa kitu chochote ikiwemo kifo.
 
Mtu ameshachanganyikiwa anafanya mambo ya kitoto mahakamani, tatizo we uwezo wako ni mdogo sana ni sawa tu na zombie. Ukiona mtu anagombana mpk na maaskari ujue kwisha habari yake ana matatizo ya afya ya akili. Amejikaza tu hasa mbele za watu anapenda sana sifa. Umeshawahi kumwona mke wake mahakamani ameshaolewa Ulaya kamtelekeza gerezani, na bd unafikiri ni mzima? We nawe una matatizo ya afya ya akili.
 
Kwa hiyo ni mzuka?
 
Lissu ni kama mchezaj machachar mwenye chenga nying kuelekea golin wakat timu pinzan serikal imelitoa goli hakuna nguzo muache aruke ruke atafeli padogo sabaa
 
Mtu ameshachanganyikiwa anafanya mambo ya kitoto mahakamani, tatizo we uwezo wako ni mdogo sana ni sawa tu na zombie. Ukiona mtu anagombana mpk na maaskari ujue kwisha habari yake ana matatizo ya afya ya akili. Amejikaza tu hasa mbele za watu anapenda sana sifa. Umeshawahi kumwona mke wake mahakamani ameshaolewa Ulaya kamtelekeza gerezani, na bd unafikiri ni mzima? We nawe una matatizo ya afya ya akili.
Yakikuta weye kama haya ushavua nguo zamani
 
Tangulini muislamu akawa mzalendo...niliwai kumkimbiza hapa jf muislamu mmoja aliyeleta porojo kuwa waislamu wa tz ndiyo walikuwa mstari wa mbele kupigania uhuru ...jambo ambalo siyo kweli hata kwa asilimia 8% kunatofauti ya kupigania uhuru na kukaa vijiweni kunywa kahawa mkijidai wapigania uhuru.
Waislamu gani hao waliokuwa mstari wa mbele kupigania uhuru? Hebu wawataje hata kwa majina.
 
Back
Top Bottom