Lissu ni kiboko kubali au kataa

Lissu ni kiboko kubali au kataa

Hooo waislamu walipigania uhuru 😁 uongo mtupu ...waislamu wangekuwa kweli wana nia ya kupigania uhuru nakuakikishia wasinge mkubali nyerere ila walijua hato weza hivyo walikuwa wanamtumia kama chambo ...kumbe nyerere alikuwa smart alijua vyema ilo jambo hivyo alikubali kutumika kama chambo mara pa ! Waislamu wakashangaa jamaa anatoboa wakaanza majungu kudai mkoloni anamwachia nxmchi atatesa waislamu? Watz tush7kuru sana rais wetu wa kwanza kutokuwa muislamu...maana vinginevyo tungepata hasara kubwa kuliko tuliyonayo sasa ...waislamu wanapata mwanya wa kufanyoa upumbavu nchi kwa sababu wakristo wanawachekea nilisha sema waislamu warmhesabuwe kama wanawake yaani wasiruhusiwe kamwe kuwa viongozi ...mimi ningekuwa rais muislamu asinge pata uongozi popote kwa maslai ya taifa na kwa maslai ya waislamu wenyewe ...kuwapauongozi waislamu ni kulingamiza taifa
Itakua umelala baa, kasome historia vizuri mpuuzi wewe
 
Itakua umelala baa, kasome historia vizuri mpuuzi wewe
Mwenzako alianza hivyo hivyo kwenye mada mwisho akakimbia uzi bila ya ubishi ...histori na logic ni vitu viwili tofauti ...niliwauliza waislamu kwa nini history ya waislamu kupigania uhuru inaanzia kipindi cha nyerere zaidi je kabla ya Nyerere kujiunga nao nionyeshe harakati haswa za waislamu walizo fanya za kupigania uhuru zisizo na shaka kwa maana halisi ya KUPIGANIA UHURU, siyo kunywa kahawa chini ya mibuyu kisha unajidao mpigania uhuru.
 
Bora waislam imeanza wakati wa nyerere, dini nyengine historia yao ipo wapi? Halau wazee wako wamepoteza rasilimali kukusomesha wewe, bora wangalikuacha ukafuga ngombe porini
 
Bora waislam imeanza wakati wa nyerere, dini nyengine historia yao ipo wapi? Halau wazee wako wamepoteza rasilimali kukusomesha wewe, bora wangalikuacha ukafuga ngombe porini
Uhuru umeanza kupiganiwa na babu zetu babla ya kuwa na hizo dini za uislam na ukristo tumia akili ....nyerere kapigania uhuru siyo wa tz tu hata Zanzibar, south africa Mozambique kaua sana mabeberu na waarabu kwa kuwapa mafunzo ya o8jesho na siraha wazalendo wa hizo nchi ...ni rais gani muislamu aliye fanya hivyo .viongozi waislamu kazi yao ni kuramba makalio ya waarabu na mabeberu ya kikristo
 
Nyerere kazaliwa kabla ya uislam? Mbona history inamzungumza yeye? Pwagu kwani yupo hai? Au mjukuu wake wewe?
 
Nyerere kazaliwa kabla ya uislam? Mbona history inamzungumza yeye? Pwagu kwani yupo hai? Au mjukuu wake wewe?
Wewe kumbe ni mpumbavuu 🙄 ukisikia vita vya majimaji wewe unadhani vilikuwa vita vya kula futari misikitini
 
Bora waislam imeanza wakati wa nyerere, dini nyengine historia yao ipo wapi? Halau wazee wako wamepoteza rasilimali kukusomesha wewe, bora wangalikuacha ukafuga ngombe porini
Kasome kisa cha nyerere alipo fika mbeya kukutana na wazee wa mkoa wa mbeya kwenye arakati za kupigania uhuru ...nyerere aliwaita wale wazee ni wakristo akawaambia habari za kupigania uhuru ...Nyerere anasema wazee wakamwambia unataka tuuliwe na kunyongwa nyerere akauliza kwa nini ? Wakamwambia kuwa walisha waikuoigania hayo siku za nyuma na na waliuliwa na wengine kunyongwa ...sasa unasemaje wakristo awajawai kuoigania uhuru ..pia unadhani mkristo pekee ndani ya TANU alikuwa nyerere? Uhuru wa tz baada ya nyerere kujiunga na siasa ulipiganowa na dini zote na mikoa yote.
 
  • Ameshatakiwa katika mashitaka ya uhaini ambayo ni makubwa, lakini anajitetea mwenyewe na kutoa hoja nzito za kisheria, kiasi kwamba jaji na mawakili wa serikali wanashangaa na kumkubali.
  • Hajatetemeka wala hana presha, licha ya kuwekwa katika selo la watu wanaosubiri kunyongwa — jambo ambalo kwa kawaida mtu yeyote angepata msongo wa mawazo, kushindwa kusimama mahakamani, au hata kuanguka kwa presha. Hata hivyo, Lissu anaonekana akili zake zinaimarika na maarifa yake yanaongezeka zaidi.
  • Anajitetea mwenyewe bila woga, bila panic, wala kulia — jambo ambalo ni vigumu kwa mwanasiasa au mtu mwingine yeyote kuwa na ujasiri huo.
  • Kama mimi ningeshitakiwa kwa makosa hayo, ningeweza kujinyonyesha, kutetemeka, na pengine hivi sasa ningekuwa marehemu — Allah aiepushe. Naamni hata wanasiasa wengine, kama wangepata mtihani kama ule, wangepata matatizo makubwa; zamani mashati yote aliyokuwa nayo yalikuwa makubwa, nywele zake zilishanongeka, na alikuwa na presha na kisukari
mtu ambae asiekubali ujaisriri wa Tundu lissu huyo akapimwe ajitafakari na ajipime anaishi katika syari gani?
Mimi nasali kila siku kwamba hata siku ya kula kitanzi irushwe laivu tumuone alivyo ujasiri na hatetemeki!😡😡😡😡
 
Rais wa nchi mwenyewe vyombo vyote vya Usalama aliweza kusema TAL ni simba kwenye ulimwengu wa roho huwezi kujua nini kilimtokea mpaka akamwita Simba
 
Jana mwanasheria wa serikali mkuu akamuita “ wakili msomi”- alishukiwa hadi akaambiwa amuite mshtakiwa asiye layman.
Sikuona umuhimi wa hilo neno lakini walikubari na kumuita mshtakiwa asiye na wakili.
Yule siyo wakili ni tapeli tupu
 
kiboko korokoroni right? dah

inasiktisha sana na inafedhehesha sana kwakweli 🐒
Hatakama inakuuma ila ukweli ndio huo uliosemwa. Hamna uwezo wa kushindana na Lissu bila ya hizo ngonjera zenu za kutaka kumhujumu.
 
Chadema bhana 😂
Sasa kama angekuwa kiboko angekaa ndani 😂
Ukiboko wake ndio uliomfanya mkamuweka ndani kwasababu hoja zake hamzijibu na badala yake mnatumia nguvu za dola kumkandamiza. Kama hiyo mahakama iko huru kwa hoja zake zote basi ingekuwa ameshakuwa nje ila kwa vile ccm ndio wanataka hivyo ili wapite bila ya kupata mshikemshike kwenye uchaguzi ndio mkatumia mbinu hizo ili muwe huru kwenye ujinga wenu wa uchaguzi.

Jambo la kwanza hakuna sheria inayosema mtu akamatwe bila ya upelelezi kukamilika kama mnamashaka nae jee mlifanya hayo?
 
Ameshitakiwa katika mashitaka ya uhaini, ambayo ni makubwa, lakini anajitetea mwenyewe na kutoa hoja nzito za kisheria, kiasi kwamba jaji na mawakili wa serikali wanashangaa na kumkubali.

Hajatetemeka, wala hana presha, licha ya kuwekwa katika selo la watu wanaosubiri kunyongwa — jambo ambalo kwa kawaida mtu yeyote angepata msongo wa mawazo, kushindwa kusimama mahakamani, au hata kuanguka kwa presha. Hata hivyo, Lissu anaonekana akili zake zinaimarika, na maarifa yake yanaongezeka zaidi.

Anajitetea mwenyewe bila woga, bila panic, wala kulia — jambo ambalo ni vigumu kwa mwanasiasa au mtu mwingine yeyote kuwa na ujasiri huo.

Kama mimi ningeshitakiwa kwa makosa hayo, ningeweza kujinyonyesha, kutetemeka, na pengine hivi sasa ningekuwa marehemu — Allah aiepushe. Naamini hata wanasiasa wengine, kama wangepata mtihani kama ule, wangepata matatizo makubwa; zamani mashati yote aliyokuwa nayo yalikuwa makubwa, nywele zake zilishanongeka, na alikuwa na presha na kisukari.

Mtu ambaye asiyekubali ujasiri wa Tundu Lissu, huyo akapimwe, ajitafakari, na ajipime anaishi katika sayari gani?
Mbeba maono tumtie nguvu Kwa sala na dua
 
afanyeje? mshauri. mimi namshauri ajiunge na CCM , Haya yote yataondoka, akikosa huko aende Chauma , mambo yatakuwa amzuri
Malaria 2 umeleta andiko bora sasa, sasa ghafla kwenye comment umerudi kwenye zile weakness zako za ushabiki wa ccm. Lissu kweli ni wa kushauriwa kujiunga na ccm? labda kama Rais ni Mzee Warioba...
 
afanyeje? mshauri. mimi namshauri ajiunge na CCM , Haya yote yataondoka, akikosa huko aende Chauma , mambo yatakuwa amzuri
Aende ccm ili nafasi ya uenyekiti iwe wazi?😁
 
Back
Top Bottom