Hapana ni undertakerKwa hiyo ni mzuka?
Hapana ni undertakerKwa hiyo ni mzuka?
Hakuna hata mmoja ...usipokuwa na akili waislamu huwa ni waongo sana ...hata kwenye hili la uhuru wanadai ni juhudi zao ...wakati mchango wao kwenye kupigania uhuru haufiki hata asilimia 12%Waislamu gani hao waliokuwa mstari wa mbele kupigania uhuru? Hebu wawataje hata kwa majina.
Au labda walivyomchangia Nyerere hela ya nauli kufanya mizunguko yake hasa alivyokuwa anaenda Tabora basi ndio wanajiona walikuwa mstari wa mbele kudai uhuru?Hakuna hata mmoja ...usipokuwa na akili waislamu huwa ni waongo sana ...hata kwenye hili la uhuru wanadai ni juhudi zao ...wakati mchango wao kwenye kupigania uhuru haufiki hata asilimia 12%
Wajinga sana wao hata wakikupa ugali wanadai wamepigania uhuru ...nyerere alichangiwa mikoa mbali mbali na kupatiwa chakula nk kote aliko kwenda hadi makanisani alilalaAu labda walivyomchangia Nyerere hela ya nauli kufanya mizunguko yake hasa alivyokuwa anaenda Tabora basi ndio wanajiona walikuwa mstari wa mbele kudai uhuru?
Malaria 2 aliyeleta uzi huu ni kada mwenzako wa mboga mboga huyo.Chadema bhana 😂
Sasa kama angekuwa kiboko angekaa ndani 😂
Ahsante kwa haya maneno machache ya msingi kabisa; ambayo kwa bahati mbaya sana yamepoteza maana yake halisi katika uongozi wa nchi yetu nyakati hizi.ukisimama katika UKWELI una kuwa HURU tena KWELI KWELI.
NO REFORMS, NO ELECTION.Ameshitakiwa katika mashitaka ya uhaini, ambayo ni makubwa, lakini anajitetea mwenyewe na kutoa hoja nzito za kisheria, kiasi kwamba jaji na mawakili wa serikali wanashangaa na kumkubali.
Hajatetemeka, wala hana presha, licha ya kuwekwa katika selo la watu wanaosubiri kunyongwa — jambo ambalo kwa kawaida mtu yeyote angepata msongo wa mawazo, kushindwa kusimama mahakamani, au hata kuanguka kwa presha. Hata hivyo, Lissu anaonekana akili zake zinaimarika, na maarifa yake yanaongezeka zaidi.
Anajitetea mwenyewe bila woga, bila panic, wala kulia — jambo ambalo ni vigumu kwa mwanasiasa au mtu mwingine yeyote kuwa na ujasiri huo.
Kama mimi ningeshitakiwa kwa makosa hayo, ningeweza kujinyonyesha, kutetemeka, na pengine hivi sasa ningekuwa marehemu — Allah aiepushe. Naamini hata wanasiasa wengine, kama wangepata mtihani kama ule, wangepata matatizo makubwa; zamani mashati yote aliyokuwa nayo yalikuwa makubwa, nywele zake zilishanongeka, na alikuwa na presha na kisukari.
Mtu ambaye asiyekubali ujasiri wa Tundu Lissu, huyo akapimwe, ajitafakari, na ajipime anaishi katika sayari gani?
Chadema bhana 😂
Sasa kama angekuwa kiboko angekaa ndani 😂
Anataka mambo yawe manzuri Kwa watanzania siyo kwake na familia yake tu.afanyeje? mshauri. mimi namshauri ajiunge na CCM , Haya yote yataondoka, akikosa huko aende Chauma , mambo yatakuwa amzuri
Du, usikute unmzungumzia Lissu mwingine sio huyu anae hojiwa live; eti Lissu anaomba sympathy? Lissu huyu huyu w Kisutu?halafu kingine aache kuomba sympathy ya mahakama ili kesi yake ifutwe ajaribu kuswitch
hio ni weakness ambayo wakili wa jamuhuri jana nimeona akiitumia kumpiga nayo hivyo aitazame upya.
Mbona alijibu palepale Tena kibabehalafu kingine aache kuomba sympathy ya mahakama ili kesi yake ifutwe ajaribu kuswitch
hio ni weakness ambayo wakili wa jamuhuri jana nimeona akiitumia kumpiga nayo hivyo aitazame upya.