Kabisaaa kabisaa hii ya sasa haimfikishi mbali tunamsahauTAL anatakiwa abadili mbinu zake za kivita
Kwa sababu ipi? Kisa hayuko sisiem? Au ni kipi ambacho Samia anacho na lisu anakikosa?Sawa sawa ndugu mzubaishaji.
Siungi mkono Uonevu wowote ila Lisu hawezi kuwa Rais wa Nchi hii labda kuwa waziri wa Sheria.
Kwahiyo ww uko uraiani unajiona una umuhimu sana mwehu ww..Chadema bhana 😂
Sasa kama angekuwa kiboko angekaa ndani 😂
💯👍👍👍asiyekubali ujasiri wa Tundu Lissu, huyo akapimwe,
Lisu ni Emotional na Chaotic!Kwa sababu ipi? Kisa hayuko sisiem? Au ni kipi ambacho Samia anacho na lisu anakikosa?
Your IQ is too low!Lisu ni Emotional na Chaotic!
inaniuma sana maana mropokaji kiboko anasema amechoka kukaa korokoroni 🐒Hatakama inakuuma ila ukweli ndio huo uliosemwa. Hamna uwezo wa kushindana na Lissu bila ya hizo ngonjera zenu za kutaka kumhujumu.
Huyu ni Rais ajaye jaman
Alishajibu atafuti hurumahalafu kingine aache kuomba sympathy ya mahakama ili kesi yake ifutwe ajaribu kuswitch
hio ni weakness ambayo wakili wa jamuhuri jana nimeona akiitumia kumpiga nayo hivyo aitazame upya.
Ahsante sana Ndugu ...Kidumu Chama Cha Mapinduzi 😉Your IQ is too low!
rais wa manzese sio 🐒Huyu ni Rais ajaye jamani
Ameshitakiwa katika mashitaka ya uhaini, ambayo ni makubwa, lakini anajitetea mwenyewe na kutoa hoja nzito za kisheria, kiasi kwamba jaji na mawakili wa serikali wanashangaa na kumkubali.
Hajatetemeka, wala hana presha, licha ya kuwekwa katika selo la watu wanaosubiri kunyongwa — jambo ambalo kwa kawaida mtu yeyote angepata msongo wa mawazo, kushindwa kusimama mahakamani, au hata kuanguka kwa presha. Hata hivyo, Lissu anaonekana akili zake zinaimarika, na maarifa yake yanaongezeka zaidi.
Anajitetea mwenyewe bila woga, bila panic, wala kulia — jambo ambalo ni vigumu kwa mwanasiasa au mtu mwingine yeyote kuwa na ujasiri huo.
Kama mimi ningeshitakiwa kwa makosa hayo, ningeweza kujinyonyesha, kutetemeka, na pengine hivi sasa ningekuwa marehemu — Allah aiepushe. Naamini hata wanasiasa wengine, kama wangepata mtihani kama ule, wangepata matatizo makubwa; zamani mashati yote aliyokuwa nayo yalikuwa makubwa, nywele zake zilishanongeka, na alikuwa na presha na kisukari.
Mtu ambaye asiyekubali ujasiri wa Tundu Lissu, huyo akapimwe, ajitafakari, na ajipime anaishi katika sayari gani?
Kuna majitu kama haya hatutayaona jf miaka ijayo kwasababu uchawa wao utakuwa unefija ukingoni na muda umewadhalilisha.kiboko korokoroni right? dah
inasiktisha sana na inafedhehesha sana kwakweli 🐒
Ole Lengai Sabaya yeye alikuwa ni mkosaji, mwenye hatia 100% lakini mwenye moyo mgumu wa kutubu. Kwa mtu mwenye shida hii, obviously dhambi na makosa yake ndiyo yatakayo haribu afya ya mwili na akili zake...Unakumbuka Braza Sabaya alikonda sana pamoja na kwamba alikuwa na uhakika wa Kesi yake kuisha. Kisaikolojia Tundu Lissu bado yuko 100% intact.
Sabaya alikuwa ni mbuzi wa bwana heri shambani kwa bwana heri kwa hiyo hakuwa na sababu ya kuwa na hofu lakini bado hakuwa stableSABAYA alikua hana back up ya jamii pia hana taaluma ya uwakili na alikua haungwi mkono na mabeberu
mihemko humfanya mdau mshupaza shingo wa JF kuweweseka na kujikuta anaropoka nonsense tupu, dah 🐒Kuna majitu kama haya hatutayaona jf miaka ijayo kwasababu uchawa wao utakuwa unefija ukingoni na muda umewadhalilisha.
Zinakuja nyakati ambazo wenye kiburi wote watakuwa kinyaa zaidi ya mavi