Lissu ni kiboko kubali au kataa

Lissu ni kiboko kubali au kataa

halafu kingine aache kuomba sympathy ya mahakama ili kesi yake ifutwe ajaribu kuswitch

hio ni weakness ambayo wakili wa jamuhuri jana nimeona akiitumia kumpiga nayo hivyo aitazame upya.
Kama wewe ndio Lissu lingalikuja gari la maji taka kuja kusafisha mavi utayokunya mahakamani, familia yako wangalishindwa hata kuja kukuangalia kwa huruma
 
  • Ameshatakiwa katika mashitaka ya uhaini ambayo ni makubwa, lakini anajitetea mwenyewe na kutoa hoja nzito za kisheria, kiasi kwamba jaji na mawakili wa serikali wanashangaa na kumkubali.
  • Hajatetemeka wala hana presha, licha ya kuwekwa katika selo la watu wanaosubiri kunyongwa — jambo ambalo kwa kawaida mtu yeyote angepata msongo wa mawazo, kushindwa kusimama mahakamani, au hata kuanguka kwa presha. Hata hivyo, Lissu anaonekana akili zake zinaimarika na maarifa yake yanaongezeka zaidi.
  • Anajitetea mwenyewe bila woga, bila panic, wala kulia — jambo ambalo ni vigumu kwa mwanasiasa au mtu mwingine yeyote kuwa na ujasiri huo.
  • Kama mimi ningeshitakiwa kwa makosa hayo, ningeweza kujinyonyesha, kutetemeka, na pengine hivi sasa ningekuwa marehemu — Allah aiepushe. Naamni hata wanasiasa wengine, kama wangepata mtihani kama ule, wangepata matatizo makubwa; zamani mashati yote aliyokuwa nayo yalikuwa makubwa, nywele zake zilishanongeka, na alikuwa na presha na kisukari
mtu ambae asiekubali ujaisriri wa Tundu lissu huyo akapimwe ajitafakari na ajipime anaishi katika syari gani?
Bora hata wewe umeongea ukweli. Mkiambiwa Tundu Lissu ni mpango wa Mungu huwa mnakataa.

Na huwa hamjiulizi ilikuwaje mtu aweze kupona shambulio la risasi 30+ huku risasi 16 zikiingia mwilini mwake mchana wa saa 7, at close range!

Ilikuwaje mtu aliyepata hifadhi ya ukimbizi yeye na familia yake (ya kuishi Ubelgiji huku akihudumiwa kwa kila kitu) akubali kurejea nchini kuja kupambania mabadiliko!

Kipindi cha awamu 5 Magufuli alimuahidi hadharani kumpa uwaziri kwenye serikali yake, lakini mwamba aliamua kukomaa na kumchallenge kugombea Urais 2020! Na matokeo yake tuliyaona!

Wakati wa fukuto la kugombea nafasi ya uenyekiti ndani ya CHADEMA tuliona alivyomuumbua Hezekiah Wenje kwa kwenda kumtembelea nyumbani kwake pamoja na mtoto wa mama, Abdul huku wakiwa na begi la hela! Na bado hakushawishika!!

Mjiulize iliwezekana vipi mtu aliyeishi nje kwa muda mrefu baada ya kushambuliwa kwa risasi, kumuondoa Mwenyekiti wake wa chama Mh. Mbowe aliyedumu kwa miaka 20+, huku akiwa amezungukwa na wasaidizi wake watiifu kama Benson Kigaila, John Mrema, nk!

Na hata sasa anaitaka Tanganyika iliyogeuzwa kuwa shamba la bibi na Wazanzibari wanyonyaji!!

Aisee mimi nawashauri mumuache tu atimize hili takwa lake la kikatiba! Maana mkiendelea kumzuia, madhara yake kwenu yatakuwa ni makubwa sana. Mkate, mkubali! Lissu ana nguvu isiyo ya kawaida ndani yake!
 
  • Ameshatakiwa katika mashitaka ya uhaini ambayo ni makubwa, lakini anajitetea mwenyewe na kutoa hoja nzito za kisheria, kiasi kwamba jaji na mawakili wa serikali wanashangaa na kumkubali.
  • Hajatetemeka wala hana presha, licha ya kuwekwa katika selo la watu wanaosubiri kunyongwa — jambo ambalo kwa kawaida mtu yeyote angepata msongo wa mawazo, kushindwa kusimama mahakamani, au hata kuanguka kwa presha. Hata hivyo, Lissu anaonekana akili zake zinaimarika na maarifa yake yanaongezeka zaidi.
  • Anajitetea mwenyewe bila woga, bila panic, wala kulia — jambo ambalo ni vigumu kwa mwanasiasa au mtu mwingine yeyote kuwa na ujasiri huo.
  • Kama mimi ningeshitakiwa kwa makosa hayo, ningeweza kujinyonyesha, kutetemeka, na pengine hivi sasa ningekuwa marehemu — Allah aiepushe. Naamni hata wanasiasa wengine, kama wangepata mtihani kama ule, wangepata matatizo makubwa; zamani mashati yote aliyokuwa nayo yalikuwa makubwa, nywele zake zilishanongeka, na alikuwa na presha na kisukari
mtu ambae asiekubali ujaisriri wa Tundu lissu huyo akapimwe ajitafakari na ajipime anaishi katika syari gani?
Tangulini muislamu akawa mzalendo...niliwai kumkimbiza hapa jf muislamu mmoja aliyeleta porojo kuwa waislamu wa tz ndiyo walikuwa mstari wa mbele kupigania uhuru ...jambo ambalo siyo kweli hata kwa asilimia 8% kunatofauti ya kupigania uhuru na kukaa vijiweni kunywa kahawa mkijidai wapigania uhuru.
 
Tangulinu muislamu akawa mzalendo...niliwai kumkimbiza hapa jf muislamu mmoja aliyeleta porojo kuwa waislamu wa tz ndiyo walikuwa mstari wa mbele kupigania uhuru ...jambo ambalo siyo kweli hata kwa asilimia 8% kunatofauti ya kuoigania uhuru na kukaa vijiweni kunywa kahawa mkijidai wapigania uhuru.
Umeingiza udini, lete hoja yako ktk thread nyengine. Muislam mtoto mchanga anaakili kuliko wewe mwenye Phd ya kufukuza ukimwi
 
  • Ameshatakiwa katika mashitaka ya uhaini ambayo ni makubwa, lakini anajitetea mwenyewe na kutoa hoja nzito za kisheria, kiasi kwamba jaji na mawakili wa serikali wanashangaa na kumkubali.
  • Hajatetemeka wala hana presha, licha ya kuwekwa katika selo la watu wanaosubiri kunyongwa — jambo ambalo kwa kawaida mtu yeyote angepata msongo wa mawazo, kushindwa kusimama mahakamani, au hata kuanguka kwa presha. Hata hivyo, Lissu anaonekana akili zake zinaimarika na maarifa yake yanaongezeka zaidi.
  • Anajitetea mwenyewe bila woga, bila panic, wala kulia — jambo ambalo ni vigumu kwa mwanasiasa au mtu mwingine yeyote kuwa na ujasiri huo.
  • Kama mimi ningeshitakiwa kwa makosa hayo, ningeweza kujinyonyesha, kutetemeka, na pengine hivi sasa ningekuwa marehemu — Allah aiepushe. Naamni hata wanasiasa wengine, kama wangepata mtihani kama ule, wangepata matatizo makubwa; zamani mashati yote aliyokuwa nayo yalikuwa makubwa, nywele zake zilishanongeka, na alikuwa na presha na kisukari
mtu ambae asiekubali ujaisriri wa Tundu lissu huyo akapimwe ajitafakari na ajipime anaishi katika syari gani?
Kwa Sasa Umerudi Kundini.

Hongera Sana Mkuu, Kwa kukataa kuendelea kua Mjinga na kipofu.
 
Umeingiza udini, lete hoja yako ktk thread nyengine. Muislam mtoto mchanga anaakili kuliko wewe mwenye Phd ya kufukuza ukimwi
Hooo waislamu walipigania uhuru 😁 uongo mtupu ...waislamu wangekuwa kweli wana nia ya kupigania uhuru nakuakikishia wasinge mkubali nyerere ila walijua hato weza hivyo walikuwa wanamtumia kama chambo ...kumbe nyerere alikuwa smart alijua vyema ilo jambo hivyo alikubali kutumika kama chambo mara pa ! Waislamu wakashangaa jamaa anatoboa wakaanza majungu kudai mkoloni anamwachia nchi atatesa waislamu? Watz tushukuru sana rais wetu wa kwanza kutokuwa muislamu...maana vinginevyo tungepata hasara kubwa kuliko tuliyonayo sasa ...waislamu wanapata mwanya wa kufanyoa upumbavu nchi kwa sababu wakristo wanawachekea nilisha sema waislamu wa hesabiwe kama wanawake yaani wasiruhusiwe kamwe kuwa viongozi ...mimi ningekuwa rais muislamu asinge pata uongozi popote kwa maslai ya taifa na kwa maslai ya waislamu wenyewe ...kuwapauongozi waislamu ni kulingamiza taifa
 
Back
Top Bottom