DOKEZO PreGE2025 Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?

DOKEZO PreGE2025 Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Viongozi wawe makini sana, na ofisi ya DPP isimame kwenye maadili. Kuwashtaki watu kwa kosa kubwa kama la uaini kijinga kijinga hivi ni kufanya hili kosa lionekane la kawaida sana.

Hii nchi ukiona watu wana vichwa vikubwa, suti kubwa na wanapiga makelele huko barabarani wakitaka kupishwa unaweza kudhani wanafikiri sawa sawa.

Hoja zinajibiwa kwa hoja, hakuna namna nyingine ya kujibu hoja. Mwenyekiti wa CCM atafute watu smart wanaoweza kujenga hoja awape nafasi. Hii tabia ya kuteua kwa kuangalia nani anasifu zaidi na nani anavaa sana kofisa zenye picha ndio haya sasa unakuja kutumia uhaini kujibu hoja za kisiasa.



😅😅😅
 
Nafikiri kuna some terms (mazungumzo) watakuwa wanafanya na Ofisi kubwa ili kujaribu kulimaliza hili kabla ya hearing.

Hili jambo linamchafua sana her excellence both internally and externally
Na waliomshauri kufanya jambo hili wamefanya kwa nia ovu ya kumchafua Rais,alishaambiwa kuwa adui yako siyo wapinzani bali ni wavaa kijani wenzako.
 
Lissu ni VVIP, unadhani ni madako kunuka kama wewe.! Ambae hata msafara wa baiskeri mbili hujawai kua nao
Wasichojua tu hao roho mbaya
Lissu anaishi pazuri kuliko hayo mageto ya magomeni.

Lissu
1. Analala chumba chake binafsi
2. Kitanda na Godoro Jipya
3. Kuna Net Safi ya mbu.
4. Anafanya mazoezi kila siku, amesema anatembea kila siku kilomita 5.

Hapo zijaongelea Chakula na vinywaji na Ulinzi juu.
 
Na waliomshauri kufanya jambo hili wamefanya kwa nia ovu ya kumchafua Rais,alishaambiwa kuwa adui yako siyo wapinzani bali ni wavaa kijani wenzako.
Upo sahihi kabsa kwani mmojawapo ni freeman Mbowe
 
Back
Top Bottom