DOKEZO PreGE2025 Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?

DOKEZO PreGE2025 Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nafikiri kuna some terms (mazungumzo) watakuwa wanafanya na Ofisi kubwa ili kujaribu kulimaliza hili kabla ya hearing.

Hili jambo linamchafua sana her excellence both internally and externally
Sio linamchafua.
Nafikiri kuna some terms (mazungumzo) watakuwa wanafanya na Ofisi kubwa ili kujaribu kulimaliza hili kabla ya hearing.

Hili jambo linamchafua sana her excellence both internally and externally
Sio linamchafua. Limeshamchafua kwenye jumuia za kimataifa. Amejishushia heshima yake kwa kiwango kikubwa
 
Moto wa No Reforms No Election.

Je historia kutumika hapa Tanzania baada ya kuchungulia kule Zambia jinsi ya kujinasua na mpinzani:

Naona nchini Zambia mbinyo wa kimataifa, wafungwa wa kisiasa waachiwa kiaina :

17 Aprili 2025
Lusaka, Zambia

Breaking News: Rais Hichilema waachilia wafungwa wa kisiasa 13, Bw. Geoffrey Bwalya Mwamba ( GBM) & Wengine 12 Kutoka Gereza kwa 'Sababu za Matibabu'

View: https://m.youtube.com/watch?v=cd3DDFWmxVY
Katika hali ya kushangaza na ya huruma, Rais Hakainde Hichilema, kupitia kwa Waziri wa Mambo ya Ndani Jack Mwiimbu, ametoa ruhusa ya matibabu kwa Geoffrey Bwalya Mwamba (GBM) na wengine 12 kutoka gerezani. Uamuzi huu ambao haukutarajiwa umewaacha Wazambia wengi na mshangao, kwani hapo awali ulionekana kuwa jambo lisilowezekana. Jiunge nasi tunapochambua maendeleo haya makuu na kujadili athari zake chanya.

SHUKURANI KWA RAIS HICHELEMA
17 April 2025
Chief mkuu mtemi Chitimukulu atoa shukrani kwa kitendo cha kiungwana alichotenda mheshimiwa rais Hichelema ..

View: https://m.youtube.com/watch?v=mTAO6Qrhk1o
By Wilson MulindaParamount Chief CHITIMUKULU has thanked President HAKAINDE HICHILEMA for pardoning former Defence Minister GEOFFREY MWAMBA from incarceration.

The #CHITIMUKULU says this shows that President #HICHILEMA has listened to the requests from the BWALYA family.

Speaking when he and some government officials visited Mr. MWAMBA at his residence in Lusaka today, the Paramount Chief said now is the time to pray for Mr. MWAMBA to recover.
...
 
Bora amwachie Lisu haraka kuliko kumhamisha sasa kwa matakwa ya mbowe na G55 ya kileo na kikundi chao cha Roho mbaya
Don't think that way Sir

Siasa ni Sayansi, kuna watu wanasogeza kete zao kwenye mchezo wa draft huku wakiwa na mchoro kabisa

Nenda kasome ile hadithi ya Yoga uone jinsi hawa Wanasiasa wetu wanavyojua ku-play their cards
 
Mbowe atafutwe aulizwe ni kwa nini kaamua kumfanyia Lisu haya matendo haramu ya kishetani kwa kushirikiana na G55
 
Back
Top Bottom